Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu vurugu wilayani

Mwenyekiti Ulinzi na Usalama (W) anaporatibu vurugu wilayani

Na mkuu alisema hakulala usiku kucha akichambua majina ya wateule wake ili atuletee watu wachapa kazi,wenye kujua wanachokifanya.

Kama huyu dc nae ni mmoja wa watu hao then ndo basi tena.

Kweli inasikitisha ninamhurumia sana Rais. Unakesha ukifukunyua mafail ili kumteu Sabaya?
 
Huyu ni mtoto wa Thomas Ole Sabaya ambaye alikuwa mkuu wa wilaya ya Serengeti. Huyo bwana Thomas Ole Sabaya alisababisha mauaji na kuchomea watu nyumba hadi tume ya haki za binadamu chini ya Jaji (jina limenitoka kidogo) ilishauri DC afikishwe mahakamani lakini serikali ilipuuza.

Like father like son, mioyo yao imejaa damu za watu hivyo Mtoto DC wa Hai haondoki hapo hadi damu imwagike kama kwa baba kule Serengeti.
 
Kile kikundi katika video wanajitapa kuwa wapo tayari kumlinda Magufuli na DC wa Hai

Kwa ushahidi huu ni kuwa kile kikundi kimetumwa na Ole Sabaya kuvuruga mkutano wa CHADEMA...
Wewe umeona hilo, angalia na hili, Chadema wana habari kuwa watafanyiwa fujo Hai, kabla hawajaenda Hai, Wanachomewa Office yao ya Kanda.

Maswali: kama walikuwa na habari ya fujo, mbona wasipeleke mashtaka polisi, Pili: Ofisi nzima ya kanda Haina walinzi , jamani hii ikoje?

Tatu: kwanini matukio yote haya yatokee kanda hii tena Arusha mjini na Hai, kwanini isitokee Ddma,Singida,Shinyanga, Musoma etc.

Chadema hii michezo yenu ni ya kizamani imeshapitwa na wakati.
 
Hao vijana hawawezi kufundishwa na cdm kusema hivyo? Rais anateua watu alioletewa na wamefanyiwa vetting kwa nini lawama ziwe kwa Rais?

Nani kakwambia huwa wanafanyiwa vetting? Hiyo ilikuwa zamani aisee!
 
Kile kikundi katika video wanajitapa kuwa wapo tayari kumlinda Magufuli na DC wa Hai

Kwa ushahidi huu ni kuwa kile kikundi kimetumwa na Ole Sabaya kuvuruga mkutano wa CHADEMA

Ole Sabaya ameshindwa siasa za kiistaarabu,na mamlaka ya uteuzi bado inaendelea kumuangalia tu

IGP Sirro usipokuwa makini ,ukicheka na nyani utavuna mabua

Ole sabaya na kikundi chake wafikishwe kwenye vyombo vya dola kujibu mashtaka,hakuna aliye juu ya sheria za nchi
Hili ndo Jibu! Ole Sabaya ndo muhusuka mkuu wa vurugu zilizotokea Hai na pia uchomaji wa Ofisi za Chadema Arusha!!

Kama hiki alichokifanya anafikiri kitamlipa basi ajue amefeli big time. Nguvu ya umma tutamwonyesha mwaka huu!
 
Chadema walishausoma upepo arusha. Wasije wakaanza kujipiga tena mabomu tu
 
Mh Rais wangu Magufuli, Mwenyekiti wangu mpendwa, nakupenda sana, kwa hili la Wilaya ya Hai, tunakuomba chukua hatua, DC mtimue kabisa, Sabaya atakuharibia kabisa kabisa, na atasababisha watu watuchukie kabisa na kupunguza kura zetu, mtimue DC, anakuharibia kabisa Mh. Rais wangu.. Mm sisemi tena.
 
Wewe umeona hilo, angalia na hili, Chadema wana habari kuwa watafanyiwa fujo Hai, kabla hawajaenda Hai, Wanachomewa Office yao ya Kanda.

Maswali: kama walikuwa na habari ya fujo, mbona wasipeleke mashtaka polisi, Pili: Ofisi nzima ya kanda Haina walinzi , jamani hii ikoje?????

Tatu: kwanini matukio yote haya yatokee kanda hii tena Arusha mjini na Hai, kwanini isitokee Ddma,Singida,Shinyanga, Musoma etc......

Chadema hii michezo yenu ni ya kizamani imeshapitwa na wakati.
Wewe ndo Sabaya nini??? Hujaona polisi wako na hao watu wa Sabaya wakati wanawarushia mawe kina Lissu?? Hujaona OCD Hai akiwalinda hao warusha nawe hapo hadi wanachadema wanashangaa?????

Acha nikwambie Sabaya, Tanzania imebadirika. Kwa hizo mbinu zako ovu umeshafeli big time na majibu utayapata very soon!!
 
Wewe umeona hilo, angalia na hili, Chadema wana habari kuwa watafanyiwa fujo Hai, kabla hawajaenda Hai, Wanachomewa Office yao ya Kanda.

Maswali: kama walikuwa na habari ya fujo, mbona wasipeleke mashtaka polisi, Pili: Ofisi nzima ya kanda Haina walinzi , jamani hii ikoje?????

Tatu: kwanini matukio yote haya yatokee kanda hii tena Arusha mjini na Hai, kwanini isitokee Ddma,Singida,Shinyanga, Musoma etc......

Chadema hii michezo yenu ni ya kizamani imeshapitwa na wakati.
Wewe nae ni mpuuzi mwingine, ulitaka Chadema waende wapi wakati unaambiwa hao warusha mawe walikuwa wanajificha nyuma ya polisi? akili zako ziko wapi?

Unashangaa hayo matukio kutokea kanda ya Kaskazini kwani mmeanza leo kufanya huo ushenzi wenu? Mbowe mmemuharibia mashamba yake wakati wa Mnyeti halafu mkampa Mnyeti zawadi ya Mkuu wa Mkoa Manyara, bado unauthubutu wa kuja hapa kuandika huu ushenzi wako? wacheni kuchezea maisha ya watanzania nyie mbwa, uhai wa mtu ni zaidi ya kura mnazolazimisha kuzipata.

Hoja zako za kipuuzi sana, unataka matukio kama hayo yakatokee Dodoma, kwani Dodoma kuna Chadema? nyie mnataka kufuta upinzani kwa lazima ndio maana mnafanya huu uhuni wenu.
 
Na mkuu alisema hakulala usiku kucha akichambua majina ya wateule wake ili atuletee watu wachapa kazi,wenye kujua wanachokifanya.

Kama huyu dc nae ni mmoja wa watu hao then ndo basi tena.
Nimecheka sana hapa Sasa ndio alikesha ingekuwaje angewateua baada yakulala
 
Back
Top Bottom