Huyo mkuu wa wilaya ndo alie ng'oa cabage na spinachi shambani mwa Mbowe?Hao vijana hawawezi kufundishwa na cdm kusema hivyo? Rais anateua watu alioletewa na wamefanyiwa vetting kwa nini lawama ziwe kwa Rais?

Hivi kweli nchi yetu, yaweza kuendeshwa kihuni hivi?Mkuu wa wilaya ya Hai Sambai ametajwa Leo katika mahojiano ya Polisi Moshi kuwa aliratibu vijana wa kufanya fujo Bomang'ombe na kurusha mawe kwa ujira wa Elfu 20 kila mmoja.
Hivi Rais Magufuli, uliwatoa wapi vijana kama hawa na kuwapa madaraka? Kweli mtu anayekuwa mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na usalama wilayani anaweza kuunda kikundi cha kurusha mawe ndani ya kundi la watu wakiwa katika shughuli zao? Huyo ndio mwakilishi wako?
Katika nchi zilizo starabika huyu kesha chafua hadhi yako ya uteuzi na alipaswa kuwekwa pembeni uchunguzi ukiendelea. Lakini sio ajabu akapongezwa na kuheshimiwa zaidi kwani kafanya jambo linalo kupendeza.
Hizi zaweza kuwa sababu za kukunyima kura mheshimiwa Magufuli.
Halafu Kuna ile kamati ya Amani ya wakuu wa dini kupongeza watawala hawa kesho kutwa jumatatu!!!Huyo mkuu wa wilaya ndo alie ng'oa cabage na spinachi shambani mwa Mbowe?
Kuna mtu moyo na dhamira yangu inamuona ni mhalifu sio kiongozi Tena kiongozi huunganisha watu na si kuleta chuki na mifarakano.Kama Mungu aliamua kuwalinda Watanzania dhidi ya Ugonjwa wa Korona na watu wakamshukuru Mungu kwa uwezo wake mkuu na jinsi alivyowapenda Watanzania basi hata hili nalo Mungu atawalinda watu wake kwa kuwafukuzilia mbali wale wote wanaogeuka kuwa wabaya na kuchukua nafasi ya Korona(covid 19), yaani kuna watu wanataka kuleta madhara kwa wenzao kama ilivyo Korona. Hawa pia tumwachie Mungu awapeperushe kama alivyopeperusha Korona.
Niwashauri wapinzani kama kweli wana nia ya kuliongoza Taifa hili kwa amani ,upendo,haki,umoja,mshikamano, usawa na kupiga vita Rushwa na dhulma zote za kidini kikabila na kikanda basi kila wanapokutana Wasome dua maalum na maombi ya kumkabidhi Mungu siasa za Tanzania ili Mungu apambane na watesaji na walioko nyuma yao.
Ikiwezekana isomwe Albadiri na Zaburi kwa ajili ya waliompiga Tundu Lisu , waliomuua Mawazo, waliomuua ,Azori ,Waliompoteza Saanane. Isomwe Albadiri na Zaburi Maalumu kwa ajili ya wale wanaoteka watu na kulichafua Taifa letu ili damu wanazomwaga ziwe juu yao na vizazi vyao vyote.
Wapinzani Sasa wamuombe Mungu asimame kuwatetea Wale wanaopoteza ndugu,wazazi na watoto wao kwa sababu tu ya watu wanaotumia nafasi zao kulinda madaraka kwenye nchi ya kidemokrasia. Taifa linaongozwa na sheria na Katiba ambayo kila kiongozi anaapa kuilinda akiwa ameshika Msahafu wa dini yake.
Sasa wapinzani wasipuuze Bali wasimame na kumwomba Mungu asimamie vile viapo vya viongozi walivyoapa wakati wa kupewa madaraka.
Kama wanakiuka viapo vyao Mungu awaadhibu hapa hapa duniani walipoapa kutenda haki.
Ni lazima wapinzani wazitizame siasa zinazoendelea kiroho mana sio kawaida kwa Viongozi wa Dini tena ya kikristo kukaa kimya na kuangalia watu wakiwa wanafanyiwa unyama kwa sababu ya ujenzi wa mapiramidi na minara ya babeli inayojengwa kwa kodi ya wote.
Wachache wanatumia kodi ya wote kuwaumiza watu. Watu wanalipa kodi zao kwa machungu halafu zinageuka kuwa mateso kwa ndugu zao kwa sababu tu ya wale waliozoea Raha za madaraka na woga wa kunyimwa kura.
Kwani wakati Mbowe anakanyagwa kule dodoma walikuwa wapi? Hizi drama za CDM kuzielewa ni ngumu. Wakiwa pekee yao utaona Wana mabaunsa yamejazia, wakishambuliwa hutasikia Cha red brigade Wala baunsa. Huu mchezo wanajitafutia kura za huruma. Hampati.Sasa wale mabaunsa walikuwa wapi? walinzi wa mbowe walikuwa wapi? hai bila kutoa hela ya mbege watakudunda tu, hata mbowe analijua hilo,
Daah Inavyoonekana hao watu waliletwa na Lisu kuwafanyia fujo wakazi wa hai.
Ni ajabu sana mgombea wa nafasii ya Urais kutembea na vikund vya wahuni

Halafu Kuna ile kamati ya Amani ya wakuu wa dini kupongeza watawala hawa kesho kutwa jumatatu!!!
hata bila kufanya yote hayo karma itawalipa, karma is a bitch!.Kama Mungu aliamua kuwalinda Watanzania dhidi ya Ugonjwa wa Korona na watu wakamshukuru Mungu kwa uwezo wake mkuu na jinsi alivyowapenda Watanzania basi hata hili nalo Mungu atawalinda watu wake kwa kuwafukuzilia mbali wale wote wanaogeuka kuwa wabaya na kuchukua nafasi ya Korona(covid 19), yaani kuna watu wanataka kuleta madhara kwa wenzao kama ilivyo Korona. Hawa pia tumwachie Mungu awapeperushe kama alivyopeperusha Korona.
Niwashauri wapinzani kama kweli wana nia ya kuliongoza Taifa hili kwa amani ,upendo,haki,umoja,mshikamano, usawa na kupiga vita Rushwa na dhulma zote za kidini kikabila na kikanda basi kila wanapokutana Wasome dua maalum na maombi ya kumkabidhi Mungu siasa za Tanzania ili Mungu apambane na watesaji na walioko nyuma yao.
Ikiwezekana isomwe Albadiri na Zaburi kwa ajili ya waliompiga Tundu Lisu , waliomuua Mawazo, waliomuua ,Azori ,Waliompoteza Saanane. Isomwe Albadiri na Zaburi Maalumu kwa ajili ya wale wanaoteka watu na kulichafua Taifa letu ili damu wanazomwaga ziwe juu yao na vizazi vyao vyote.
Wapinzani Sasa wamuombe Mungu asimame kuwatetea Wale wanaopoteza ndugu,wazazi na watoto wao kwa sababu tu ya watu wanaotumia nafasi zao kulinda madaraka kwenye nchi ya kidemokrasia. Taifa linaongozwa na sheria na Katiba ambayo kila kiongozi anaapa kuilinda akiwa ameshika Msahafu wa dini yake.
Sasa wapinzani wasipuuze Bali wasimame na kumwomba Mungu asimamie vile viapo vya viongozi walivyoapa wakati wa kupewa madaraka.
Kama wanakiuka viapo vyao Mungu awaadhibu hapa hapa duniani walipoapa kutenda haki.
Ni lazima wapinzani wazitizame siasa zinazoendelea kiroho mana sio kawaida kwa Viongozi wa Dini tena ya kikristo kukaa kimya na kuangalia watu wakiwa wanafanyiwa unyama kwa sababu ya ujenzi wa mapiramidi na minara ya babeli inayojengwa kwa kodi ya wote.
Wachache wanatumia kodi ya wote kuwaumiza watu. Watu wanalipa kodi zao kwa machungu halafu zinageuka kuwa mateso kwa ndugu zao kwa sababu tu ya wale waliozoea Raha za madaraka na woga wa kunyimwa kura.
Mkuu umenena makuu yaliyojaa hekima. Nadhani wamekusikia, na wakati wa kampeni watazingatia hayo uliyosema.Kama Mungu aliamua kuwalinda Watanzania dhidi ya Ugonjwa wa Korona na watu wakamshukuru Mungu kwa uwezo wake mkuu na jinsi alivyowapenda Watanzania basi hata hili nalo Mungu atawalinda watu wake kwa kuwafukuzilia mbali wale wote wanaogeuka kuwa wabaya na kuchukua nafasi ya Korona(covid 19), yaani kuna watu wanataka kuleta madhara kwa wenzao kama ilivyo Korona. Hawa pia tumwachie Mungu awapeperushe kama alivyopeperusha Korona.
Niwashauri wapinzani kama kweli wana nia ya kuliongoza Taifa hili kwa amani ,upendo,haki,umoja,mshikamano, usawa na kupiga vita Rushwa na dhulma zote za kidini kikabila na kikanda basi kila wanapokutana Wasome dua maalum na maombi ya kumkabidhi Mungu siasa za Tanzania ili Mungu apambane na watesaji na walioko nyuma yao.
Ikiwezekana isomwe Albadiri na Zaburi kwa ajili ya waliompiga Tundu Lisu , waliomuua Mawazo, waliomuua ,Azori ,Waliompoteza Saanane. Isomwe Albadiri na Zaburi Maalumu kwa ajili ya wale wanaoteka watu na kulichafua Taifa letu ili damu wanazomwaga ziwe juu yao na vizazi vyao vyote.
Wapinzani Sasa wamuombe Mungu asimame kuwatetea Wale wanaopoteza ndugu,wazazi na watoto wao kwa sababu tu ya watu wanaotumia nafasi zao kulinda madaraka kwenye nchi ya kidemokrasia. Taifa linaongozwa na sheria na Katiba ambayo kila kiongozi anaapa kuilinda akiwa ameshika Msahafu wa dini yake.
Sasa wapinzani wasipuuze Bali wasimame na kumwomba Mungu asimamie vile viapo vya viongozi walivyoapa wakati wa kupewa madaraka.
Kama wanakiuka viapo vyao Mungu awaadhibu hapa hapa duniani walipoapa kutenda haki.
Ni lazima wapinzani wazitizame siasa zinazoendelea kiroho mana sio kawaida kwa Viongozi wa Dini tena ya kikristo kukaa kimya na kuangalia watu wakiwa wanafanyiwa unyama kwa sababu ya ujenzi wa mapiramidi na minara ya babeli inayojengwa kwa kodi ya wote.
Wachache wanatumia kodi ya wote kuwaumiza watu. Watu wanalipa kodi zao kwa machungu halafu zinageuka kuwa mateso kwa ndugu zao kwa sababu tu ya wale waliozoea Raha za madaraka na woga wa kunyimwa kura.
Hahahaha, je unahisi huyo RC hajui anachokifanya ? Ndio maana mkulu alikesha kupata MTU wa aina hii na kufanya km hivi ,si mchezo kupata MTU wa hv lzm ukesheNa mkuu alisema hakulala usiku kucha akichambua majina ya wateule wake ili atuletee watu wachapa kazi,wenye kujua wanachokifanya.
Kama huyu dc nae ni mmoja wa watu hao then ndo basi tena.
Ole Sabaya ni mtoto wa DC aliyewahi kuwa kule Serengeti.Tunzeni hizi kumbukumbu ili mwezi was kumi nikiingia ikulu nianze nae huyu Pimbi wa kutupa Ole sabaya.
Ile in kamati ya Amani ya wakuu wa dini matapeli wa kisiasa "chuma ulete".Halafu Kuna ile kamati ya Amani ya wakuu wa dini kupongeza watawala hawa kesho kutwa jumatatu!!!
Yaani MTU yeyote mwenye akili anaona kuwa wamepangwa. Hivi mlipigwa kwanza ndio mkaenda kuandika mabango?..hawa wananchi wanaozungumza hapa walikuwepo eneo la tukio.