Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
jambazi la siasa
huyu asingekuwa na cheo,mtaani angekuwa mwizi,mgomvi,dhulumati,onevu yaani dizaini ya gangwe kibaka
na hilo genge lake ni hatari...halitaishia kurusha mawe tu
kwa utawala unaoheshimu sheria na haki za binadamu angekuwa gerezani na genge pake
Na hilo sio tukio la kwanza kupangwa na Sabaya hapo Hai. Ni mara kadhaa Mbowe amerushiwa mawe hapo Hai, na wanaccm wanashangilia eti kuwa ndio Mbowe hakubaliki. Unajiuliza kama mtu hakubaliki ndio apigwe mawe? Huyo Sabaya ana rekodi za uhalifu na mtu aliyekuwa akiratibu na kushiriki matukio ya kihalifu ya uvccm huko Arusha. Na taarifa hizi rais anazo, lakini anamnyamazia kwakuwa huenda ndio kazi aliyompa ya kuua upinzani huko Hai. Hakuna namna yoyote rais atajitenga na haya afanyayo Sabaya maana sio mara ya kwanza. je