Wananchi wamefikia ukomo wa uvumilivuHao wahuni ni wa kutandikwa tu.
Uvumilivu wa wananchi siku zote una kikomoNakumbuka wapemba waliwahi kumchinja kapelo kama kuku kule Pemba baada ya kuchoshwa kuonewa.
Haya ndiyo maoni ya Wananchi walio wengiChama kijipange,kisitegemee vyombo vya dola kulinda usalama wao japo wananchi wa vyama vyote wanalipa kodi ambayo moja ya matumizi yake ni kulipa vyombo hivyo ili vihakikishe ulinzi na usalama upo kwa raia wake.
Chama kiwe kinaandaa wanasheria kabisa,ikitokea vurugu kama hizo,wafuasi wawashughulikie inavyotakiwa na iripotiwe inavyotakiwa.
Uwaone kwa macho ama?Upuuzi mtupu
Walete hao wananchi
Tena upuuzi kabisaNi ushamba wa kisiasa.
Chombo huru Cha habari hakipangiwi muda wa kutoa habariWe jamaa bwana ulipotea humu jamiiforums wakati wa uchaguzi unajifanya kuibuka humu jamvini.We nawe ni walewale tuu kama Musiba.
Nionyeshe maendeleo jimbo lolote tzNioneshe maendeleo jimboni hai sio drama
Lini ulisikia wakisema hivyo au unajibu kwa hisia zako.sidhani kama Cdm niwajinga kiasi hicho wakati wanajua nchi hii inavyama vingi vya siasa na kila chama kina wafuasi wake.Ata hivyo unadhani kati ya Cdm na Ccm ni chama kipi kinacholazimisha kupendwa na watu wote,na ikitokea umekosoa unatapa misukosuko?.jibu baki nalo.ila pia je hoja wanazozitoa Cdm kuhusu kuonewa na baadhi ya vyombo vya dola kwa mwavuli wa ukiukaji wa sheria uku Ccm wao wakiendelea kupeta unalizungumziaje?.Kitu ambacho Chadema hawapendi kuskia ni kuwa kuna wananchi hawawapendi..
Sasa kama hawawapendi eti wamenunuliwa.
Lakini kikitokea kikundi kinachomlinda Lissu eti ni cha watanzania wazalendo wasionunulika wasiovunja sheria wapenda haki wenye akili kubwa saana kuzidi mtu yeyote na ndiyo watanzania halisi
Tanzania haipo katika orodha ya nchi zilizoendelea, hizi porojo peleka kwa polepole wakati unampikia chaiNioneshe maendeleo jimboni hai sio drama
Hivi utaratibu wa kumfungulia mtu au watu mashtaka ukoje?Kile kikundi katika video wanajitapa kuwa wapo tayari kumlinda Magufuli na DC wa Hai
Kwa ushahidi huu ni kuwa kile kikundi kimetumwa na Ole Sabaya kuvuruga mkutano wa CHADEMA
Ole Sabaya ameshindwa siasa za kiistaarabu,na mamlaka ya uteuzi bado inaendelea kumuangalia tu
IGP Sirro usipokuwa makini ,ukicheka na nyani utavuna mabua
Ole sabaya na kikundi chake wafikishwe kwenye vyombo vya dola kujibu mashtaka,hakuna aliye juu ya sheria za nchi
Lazima Uhuru wa Habari uheshimiwemkuu, kwa hili bandiko lako nakushauri ubadili signature yako ili iendane na huu msimamo wako mpya!
Wananchi Sasa watachukua sheria mkononi kukabiliana na wahuni vibaka haoSio lazima mtu ukubalike kila mahali,
Haya ndio madhara ya kudanganyana kuwa mnakubalika kila mahali na kila mtu.
Sasa hata mkikataliwa hamtaki kuamini.
There are different ways to SKIN a CAT...Kama hawataki kuchukua hatua wafanyaje? Inadaiwa hao waliokuwa wanarusha mawe walikuwa wanajificha nyuma ya polisi.Kwa hiyo wanachama wa Chadema wachekelee tu wahuni hao badala ya kujibu mapigo?