GE2025 Mwenyekiti UVCCM Mohamed Kawaida: Tumesikitishwa Na Kauli Ya Rais Wa TEC

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.

Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema amesikitishwa na matamshi ya Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) aliyoyatoa Kipalapala, Tabora, Septemba 25 mwaka huu kuhusu ushiriki wa waumini kwenye masuala ya kisiasa.

Amesema watu wengi wameona na kusikia kauli hiyo kupitia kipande cha video (klipu) ambapo kiongozi huyo alizungumzia masuala ya uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi.

Pia Soma: GE2025 - Kanisa Katoliki: Marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.

Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema amesikitishwa na matamshi ya Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) aliyoyatoa Kipalapala, Tabora, Septemba 25 mwaka huu kuhusu ushiriki wa waumini kwenye masuala ya kisiasa.

Amesema watu wengi wameona na kusikia kauli hiyo kupitia kipande cha video (klipu) ambapo kiongozi huyo alizungumzia masuala ya uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi.

..huyu bwana hasikitishwi na Tume na mifumo ya uchaguzi kutofanyiwa marekebisho?

..au hasikitishwi na unyama na ukatili wa vyombo vya dola, na mahakama, dhidi ya wapinzani?
 
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.

Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema amesikitishwa na matamshi ya Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) aliyoyatoa Kipalapala, Tabora, Septemba 25 mwaka huu kuhusu ushiriki wa waumini kwenye masuala ya kisiasa.

Amesema watu wengi wameona na kusikia kauli hiyo kupitia kipande cha video (klipu) ambapo kiongozi huyo alizungumzia masuala ya uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi.
Kijana mpumbavu sana huyu. CCM can’t have it both ways! Wafungie makanisa halafu wakati huohuo watafute support ya kanisa? WTF!
 
Hawa vijana na lichama lao wote vichwa vya panzi, lakini si mama yao anajifanya kivuri sanaaaa, anajua sanaaaa, ana dharau sanaaaa. Na wakae tayari 29 ngoma itapasuka, hakuna cha uchaguzi wala uchaguzi ...no reform no election.

Udharimu kwisha habari yake
 
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.

Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema amesikitishwa na matamshi ya Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) aliyoyatoa Kipalapala, Tabora, Septemba 25 mwaka huu kuhusu ushiriki wa waumini kwenye masuala ya kisiasa.

Amesema watu wengi wameona na kusikia kauli hiyo kupitia kipande cha video (klipu) ambapo kiongozi huyo alizungumzia masuala ya uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi.

Hii pedi iliyo tumika nayo ndio ya kumjibu rais wa TEK!!
 
Kawaida ameongeza kuwa amesikitishwa sana na matamshi hayo, akibainisha kwamba kila aliyeifuatilia kauli hiyo ameisikia wazi, na kwamba ni kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Bw mdogo sisi ndio Catholic tushaa sema na huna Cha kutufanya
20250929_181922.jpg
 
WWagalatia mngekuwa na akili hii nchi ingekuwa mbali sana.
Maana Wagalatia ndio wenye vyeti vya PhD, uprofesa na madigrii mengu tu ya vyeti.
Tokea Uhuru Wagalatia ndio waliojaa serikalini na nyadhifa za juu kabisa. Ni akili zenu hiz Wagalatia ndio nchi ipo ilipo
 
Kaangalie wagalatia walifanya nini walipokuwa madarakani
 
Huyu mpumbavu Kawaida lazima ashughulikiwe hiyo tarehe 29.

Tunaweka vizuri rekodi ya wapuuzi wote wa CCM wa kuwashughulikia hiyo tarehe 29 Oktoba.

Mjinga huyu na mshenzi anapata wapi audacity ya kumsema Rais wa TEC aliyezungumza tamko la kweli lenye taarifa sahihi???
 
Huyo kawaida inaonekana ni Kawaida yake kuwa mwendawazimu. Yaani anasikitishwa na kauli ya Askofu ua kulinda maadili ya kiimani, lakini anafurahia watu kutekwa na kuuawa na CCM. Hatujawahi kumsikia akitoa kauli ya kusikitikia ushetani unaofanywa na chama chake, wa kuteka na kuwaua watanzaia.
 
Back
Top Bottom