Tutajie wewe. Na usiseme walipokuwa madarakani. Wagalatia ndio wanaodominate serikali hii tokea uhuru. Wasomi wa vyeti wote ni wagalaKaangalie wagalatia walifanya nini walipokuwa madarakani
Afadhali useme hivyo.Tatizo ni CCM
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema amesikitishwa na matamshi ya Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) aliyoyatoa Kipalapala, Tabora, Septemba 25 mwaka huu kuhusu ushiriki wa waumini kwenye masuala ya kisiasa.
Amesema watu wengi wameona na kusikia kauli hiyo kupitia kipande cha video (klipu) ambapo kiongozi huyo alizungumzia masuala ya uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi.
Pia Soma: GE2025 - Kanisa Katoliki: Marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa

Dogo amejawa na kiburi na overconfidence za kipumbav, yaani kwa jinsi anavyoongea anajiona yeye ni kma Abdul hivi kuwa dola inamlinda.CCM imuonye haraka sana huyu kijana....anapata wapi nguvu ya kusema Kiongozi wa TEC amekengeuka?..haya ni matusi ya wazi kabisa....
Isitoshe hii sio level yake
Hivi anatambua madhara ya haya anayotaka kuyavaa?
He is a very stupid young boy...
Huyu aliwahi kusema uvccm wanawspoteza wakosoaji...huyu bwana hasikitishwi na Tume na mifumo ya uchaguzi kutofanyiwa marekebisho?
..au hasikitishwi na unyama na ukatili wa vyombo vya dola, na mahakama, dhidi ya wapinzani?
Mbona maaskofu wakiingilia siasa mwasema wasichanganye siasa na dini,na nyinyi msichanganye siasa na diniUmoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema amesikitishwa na matamshi ya Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) aliyoyatoa Kipalapala, Tabora, Septemba 25 mwaka huu kuhusu ushiriki wa waumini kwenye masuala ya kisiasa.
Amesema watu wengi wameona na kusikia kauli hiyo kupitia kipande cha video (klipu) ambapo kiongozi huyo alizungumzia masuala ya uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi.
Pia Soma: GE2025 - Kanisa Katoliki: Marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa
Basi wateke na muwapoteze na POLISI wasiwafauteas usual.Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.