Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Huyu kama ametumwa basi waliomtuma kweli hawajitambui. Utaendekezaje majibizano na viongozi wa dini, tena kutoka kanisa lenye ushawishi mkubwa.
Nchimbi yupo hapo lkn naona kama wameshamuweka kwenye umakamu asubirie kuzindua na kushiriki warsha.
Maana hawasaidii kabisa, ama anawaacha liwafie aingie magogoni kiubwete.