Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema amesikitishwa na matamshi ya Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) aliyoyatoa Kipalapala, Tabora, Septemba 25 mwaka huu kuhusu ushiriki wa waumini kwenye masuala ya kisiasa.
Amesema watu wengi wameona na kusikia kauli hiyo kupitia kipande cha video (klipu) ambapo kiongozi huyo alizungumzia masuala ya uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi.
Kijana mpumbavu sana huyu. CCM can’t have it both ways! Wafungie makanisa halafu wakati huohuo watafute support ya kanisa? WTF!Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema amesikitishwa na matamshi ya Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) aliyoyatoa Kipalapala, Tabora, Septemba 25 mwaka huu kuhusu ushiriki wa waumini kwenye masuala ya kisiasa.
Amesema watu wengi wameona na kusikia kauli hiyo kupitia kipande cha video (klipu) ambapo kiongozi huyo alizungumzia masuala ya uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi.
Hii pedi iliyo tumika nayo ndio ya kumjibu rais wa TEK!!Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema amesikitishwa na matamshi ya Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) aliyoyatoa Kipalapala, Tabora, Septemba 25 mwaka huu kuhusu ushiriki wa waumini kwenye masuala ya kisiasa.
Amesema watu wengi wameona na kusikia kauli hiyo kupitia kipande cha video (klipu) ambapo kiongozi huyo alizungumzia masuala ya uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi.
Kaangalie wagalatia walifanya nini walipokuwa madarakaniWWagalatia mngekuwa na akili hii nchi ingekuwa mbali sana.
Maana Wagalatia ndio wenye vyeti vya PhD, uprofesa na madigrii mengu tu ya vyeti.
Tokea Uhuru Wagalatia ndio waliojaa serikalini na nyadhifa za juu kabisa. Ni akili zenu hiz Wagalatia ndio nchi ipo ilipo