Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
CCM ni genge la wahuni tu.Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema amesikitishwa na matamshi ya Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) aliyoyatoa Kipalapala, Tabora, Septemba 25 mwaka huu kuhusu ushiriki wa waumini kwenye masuala ya kisiasa.
Amesema watu wengi wameona na kusikia kauli hiyo kupitia kipande cha video (klipu) ambapo kiongozi huyo alizungumzia masuala ya uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi.
Pia Soma: GE2025 - Kanisa Katoliki: Marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa
Huyu dogo ana Elimu mwenye CV ya huyu dogoHuyo kawaida inaonekana ni Kawaida yake kuwa mwendawazimu. Yaani anasikitishwa na kauli ya Askofu ua kulinda maadili ya kiimani, lakini anafurahia watu kutekwa na kuuawa na CCM. Hatujawahi kumsikia akitoa kauli ya kusikitikia ushetani unaofanywa na chama chake, wa kuteka na kuwaua watanzaia.
well said...UJINGA UMESHAISHA..wananchi wa kizazi cha leo ,sio WAJINGA TENA wa kudanganyika kirahisi. rahisi.Shida ya ccm ni kufikiri watu wote ni wajinga! Huu mtazamo wao kuna siku utawaletea janga ambalo hawakulitarajia.
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema amesikitishwa na matamshi ya Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) aliyoyatoa Kipalapala, Tabora, Septemba 25 mwaka huu kuhusu ushiriki wa waumini kwenye masuala ya kisiasa.
Amesema watu wengi wameona na kusikia kauli hiyo kupitia kipande cha video (klipu) ambapo kiongozi huyo alizungumzia masuala ya uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi.
Pia Soma: GE2025 - Kanisa Katoliki: Marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa
Tatizo ni CCMWWagalatia mngekuwa na akili hii nchi ingekuwa mbali sana.
Maana Wagalatia ndio wenye vyeti vya PhD, uprofesa na madigrii mengu tu ya vyeti.
Tokea Uhuru Wagalatia ndio waliojaa serikalini na nyadhifa za juu kabisa. Ni akili zenu hiz Wagalatia ndio nchi ipo ilipo
Kametumwa Karo poke upuuziUmoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.
Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Ali Kawaida, katika mkutano na waandishi wa habari mkoani Tanga, ambapo alisema amesikitishwa na matamshi ya Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) aliyoyatoa Kipalapala, Tabora, Septemba 25 mwaka huu kuhusu ushiriki wa waumini kwenye masuala ya kisiasa.
Amesema watu wengi wameona na kusikia kauli hiyo kupitia kipande cha video (klipu) ambapo kiongozi huyo alizungumzia masuala ya uchaguzi na Tume Huru ya Uchaguzi.
Pia Soma: GE2025 - Kanisa Katoliki: Marufuku kwa watawa kujihusisha na kampeni za siasa
Mbona wazalendo tunashitushwa na miemendo yenu na hsmjali,kusikia wala kuona?Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa.