GE2025 Mwenyekiti UVCCM Mohamed Kawaida: Tumesikitishwa Na Kauli Ya Rais Wa TEC

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hajui kama serikali ya chama chake haitaki kuchanganya dini na siasa??

Watawa ni zaidi ya waumini.
 
Kaangalie wagalatia walifanya nini walipokuwa madarakani
Tutajie wewe. Na usiseme walipokuwa madarakani. Wagalatia ndio wanaodominate serikali hii tokea uhuru. Wasomi wa vyeti wote ni wagala
 

Yes, Katoliki wamechanganya dini na siasa. Wafungieni makanisa kama mlivyomfanyia Gwajima tuone.

Si huwa mnesema serikali haishindwi na serikali haijaribiwi ..... sasa imejaribiwa. Murilo aje awazuie hadharani sasa!!
 


Haka kajamaa nakafahamu ni ka shoga. Ila UVCCM sijui kwa nini tumekuwa na tabia ya kuchagua watu wa namna hii. Hili suala mara nyingi nalipigia sana kelele. Kwa nini hawa ndo wawe viongozi wetu?
 
CCM imuonye haraka sana huyu kijana....anapata wapi nguvu ya kusema Kiongozi wa TEC amekengeuka?..haya ni matusi ya wazi kabisa....
Isitoshe hii sio level yake
Hivi anatambua madhara ya haya anayotaka kuyavaa?
He is a very stupid young boy...
Dogo amejawa na kiburi na overconfidence za kipumbav, yaani kwa jinsi anavyoongea anajiona yeye ni kma Abdul hivi kuwa dola inamlinda.

Kuwa mwenyekiti wa UVCCM taifa anajiona ana nguvu sana kiasi cha kujibizana na taasisi.

Na bila shaka ametumwa na wakubwa zake
 
..huyu bwana hasikitishwi na Tume na mifumo ya uchaguzi kutofanyiwa marekebisho?

..au hasikitishwi na unyama na ukatili wa vyombo vya dola, na mahakama, dhidi ya wapinzani?
Huyu aliwahi kusema uvccm wanawspoteza wakosoaji.
 
Mbona maaskofu wakiingilia siasa mwasema wasichanganye siasa na dini,na nyinyi msichanganye siasa na dini
 
Basi wateke na muwapoteze na POLISI wasiwafauteas usual.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…