Mwenyekiti UVCCM Taifa apingana na Amos Makalla kuhusu kutoa pole kwa CHADEMA kufuatia kifo cha Ali Kibao

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Screenshot_20240908-175823.png
Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .

Kawaida ameandika yafuatayo baada ya taarifa za kifo cha Ali Kibao kutolewa na chadema Leo asubuhi:-

"Inanipa ukakasi kuona wa kwanza kutupa taarifa za utekaji ndiyo wa kwanza kutupa taarifa za kifo"

Soma Pia:

Kajitu kenyewe kana kashfa
 
Mojawapo ya sifa ya wafuasi wa shetwaini ni kutoelewana wenyewe.
 
Kuna watu wanaona fahari sana kushika hivi vyeo vya kidunia! Ebu wawaangalie wenzao waliotangulia mbele za haki tena wengine walikuwa na vyeo vikubwa kuliko walivyonavyo wao lakini leo hii wapo wapi na je hicho walichokuwa wakikiangaikia hapa duniani wameenda nacho huko ahera? Mtu na akili zako timamu unajitoa fahamu kwa sababu ya kujipendekeza ili upate cheo!
 
Back
Top Bottom