Zanzibar 2020 Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif atoa msimamo juu ya wagombea ACT-Wazalendo kuenguliwa


Yesu kristo akuhurumie kitu gani ,yeye mwenyewe alitaka ahurumiwe akapiga kelele na kumwomba Mungu wa kweli Elloi Elloi Lamma Sabbakhtani
 
Kama ni kweli Wapemba wawachinje hao jamaa mchana kweupe ili tuhishimiane!
 
Uchaguzi si kigezo cha kukabidhi nchi kwa Mawakala wa Masultan
KULINDA MAPINDUZ ni jukumu la lazima la Rais na JPM anajua hilo
Hii nchi ni yakwako na uyo jamaa yako !?
Acheni umbuzi bhana..
WANANCHI LAZIMA WAHESHIMIWEE
 
Nchi hii sio mali ya mtu wala chama chochote cha siasa..

WANANCHI WAHESHIMIWEE.. Mbona mnakua ivo jamani kama hamna uchungu na damu ya Watanzania wenzenu.. Mmeongoza matamanio ya nafsi zenu na matumbo tuu

Hivi wanalazimisha vita kwa faida ya nani !!? Kwanini haki isitendeke kwa wote !!?
 
Uchaguzi si kigezo cha kukabidhi nchi kwa Mawakala wa Masultan
KULINDA MAPINDUZ ni jukumu la lazima la Rais na JPM anajua hilo
Afadhali wewe umekua muwazi. Huu ndio msimamo wa serikali ya CCM tokea Mapinduzi ya mwaka 1964. Yote mengine ikiwa ni pamoja na kinachoitwa uchaguzi unaoshirikisha vyama vingi vya siasa ni kiini macho na hadaa tu kwa wananchi na Jumuiya ya Kimataifa
 
Wenyewe huanza kwa kusema mapinduziiiiiii....
Na wakishasema hivyo nyie mnashangilia na kupiga vigelegele au sio?
Je mkishaua na kuwatia watu vilema hayo mapinduzi na chama chenu maana nacho ni cha mapinduzi Je hayo mnayojikweza nayo yatakuwa na maana tena?
 
Tulijua tu kama yule bwana ataharibu kama mentor wake. 20 years later historia kujirudia. Wajifunze kwa masheikh vipi chaguzi zao zinapita poa "relatively". Asisubiri aje afanye confession. Maisha haya ya Dunia ni takataka tu asiyaweke kichwani sana. Tanzania ni ya wote haina hatimiliki ya chama.
 
Na wakishasema hivyo nyie mnashangilia na kupiga vigelegele au sio?
Je mkishaua na kuwatia watu vilema hayo mapinduzi na chama chenu maana nacho ni cha mapinduzi Je hayo mnayojikweza nayo yatakuwa na maana tena?
Mkuu mapinduzi yanaleta neema kwa watu wengi.

Wachache wenye akili na mipango kama ya kwako kushughulikiwa ni jambo la kawaida tu, halinyimi watu usingizi.

Fanya fyokofyoko ukione cha mtema kuni.
 
Mkuu mapinduzi yanaleta neema kwa watu wengi.

Wachache wenye akili na mipango kama ya kwako kushughulikiwa ni jambo la kawaida tu, halinyimi watu usingizi.

Fanya fyokofyoko ukione cha mtema kuni.
Matumizi ya nguvu, vitisho vya kipumbavu havijapata kushinda popote duniani. Utashughulikia saba wa nane wao utakuwa wewe. Utaua nane wa tisa wao utakuwa wewe. Utaonea ama kufunga tisa wa kumi wao utakuwa wewe. Hiyo ndio falsafa ya maisha na haijapata kubadilika. Acheni uwanja wazi nchi si ya CCM wala chama chochote ni ya Watanzania.
Hamjifunzi kilichotokea kwa Master Sergeant Samuel Doe na wapambe wake? Msifanye maskhara na maisha ya watu, msiichezee amani maana amani hailetwi kwa maguvu na vitisho Jifunzeni yaliyotokea Angola na mwisho wake.
Ruksa kujitia upofu na kujitoa akili kwa kuwaza jua halitozama.
 
Inatosha Sasa... Hatutaki ujinga kwenye uchaguzi
 
Hatutaki yatokee yaliyotokea Gambia, ajiandae rasmi kukukubali maamuzi yetu kama anavyoyategemea, huu ujanja ujanja anaotaka kufanya ili uchaguzi usifanyike hautamfanya aendelee kuwa rais.

uchaguzi ni lazima ufanyike ili aondoke.
Sema watz wengi waoga sana wa mabadiliko, halafu wengi hawatambui haki zao.

Nchi hii ingekuwa na vichwa kumi kama Lisu kila mkoa, ujinga na unyanyasi wa ccm dhidi ya Raia ungekomeshwa mapema sana.

Watz mmezidi unyonge na uoga ndio maana mnachezewa sharabu kila siku.
 
Mmmhhh
 

Safi sana Maalim Seif. Sasa imetosha. Liwalo na liwe. Udikteta basi.
 
Tatizo wenye mawazo kama ya kwako huwa wanakariri maisha. Unaongelea Samuel Doe ukisahau kuwa wakati anaingia madarakani mpaka anaondoka nchi yetu ilikuwa chini ya chama kile kile kilicho madarakani leo hii.

Hii nchi imewekwa chini ya ulinzi wa Mungu tangu siku ya uhuru na mpaka kesho itakuwa mikononi mwa Muumba.

Usipende kutumia mifano duni kama huo wa Doe unapoiongelea Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…