nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Ni suala la muda, hata wewe hutobaki salaama. ShenziiijHaya umeshaisikia, ingia road.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni suala la muda, hata wewe hutobaki salaama. ShenziiijHaya umeshaisikia, ingia road.
Kushabikia ni mojawapo kukubali machafuko, laiti ungemjua unaeongea, nadhani ungejificha kwenye uvungu wa kitanda chako ni msomi wa kiwango kikubwa, ndio maana nimekuambia wewe sio raia wa nchi hii kwa sababu, machafuko yakitokea hata wewe mwenyewe hutapata muda wa kuchati huku jamii forum na wazazi wako ndio kabisa. Dogo acha ujinga, sio mambo kushabikia.nadhani tatizo ni kiwango chako duni cha elimu , hatujawahi kuomba machafuko , tunaomba Haki tu
Nilisema kuwa huyu jamaa ni kichaaa mpaka watu wote waje kutambua hilo madhara yatakuwa makubwaBwana yule kageuza nchi kuwa familia yake. Akiachwa atachinja wote
Tulikushangaa ulipoambiwa Uchaguzi utakuwa Huru na Haki Ukaamini Tanzania Hakùna Uchaguzi Utakao kuwa Huru na Haki bila Katiba Mpya na Tume Huru
Maalim Seif Hamad amesema kuwa Rais Magufuli akizungumza na balozi mwaka huu alimhakikishia balozi kuwa kutakuwa na uchaguzi huru na haki na wazi lakini amesema kwa sasa wananchi wanachokishuhudia ni tofauti kabisa na maneno hayo na si tu kwa Tanzania bara lakini pia hata Zanzibar unga umezidi maji.
Amesema wanayo taarifa Pemba karibu wagombea wote wa ACT-Wazalendo waliwekewa pingamizi za kipumbavu kabisa na kwa sasa 8 kati yao wameruhusiwa kuendelea kugombea na 10 bado wanasubiri maamuzi.
Ambapo jambo la kusikitisha ni kwamba wanaoweka pingamizi ni wasimamizi wa uchaguzi ambao kwa mara ya kwanza Tangu historia ya Zanzibar wametolewa kutoka bara na wote ni maafisa wa usalama wa Taifa wamekuja kwa maagizo maalum ya Rais Magufuli kwa waahakikishe kwamba wagombea wa ACT-Wazalendo wanaenguliwa.
Amesema kuwa unakuta wagombea wanaambiwa wamewekewa pingamizi na mgombea wa chama fulani na wakati huohuo mwanachama huyo anakataa kuwa hajaweka pingamizi anakataa mwenyewe anasema si kweli kwamba hajaweka pingamizi kwa barua.
Mpumuliwa kisogoni wa kusukuma tu ka mlevi... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji382]Ni suala la muda, hata wewe hutobaki salaama. Shenziiij
"Sasa imetosha! Kuweni tayari wakati wowote".
Maalim Seif Hamad amesema kuwa Rais Magufuli akizungumza na balozi mwaka huu alimhakikishia balozi kuwa kutakuwa na uchaguzi huru na haki na wazi lakini amesema kwa sasa wananchi wanachokishuhudia ni tofauti kabisa na maneno hayo na si tu kwa Tanzania bara lakini pia hata Zanzibar unga umezidi maji.
Amesema wanayo taarifa Pemba karibu wagombea wote wa ACT-Wazalendo waliwekewa pingamizi za kipumbavu kabisa na kwa sasa 8 kati yao wameruhusiwa kuendelea kugombea na 10 bado wanasubiri maamuzi.
Ambapo jambo la kusikitisha ni kwamba wanaoweka pingamizi ni wasimamizi wa uchaguzi ambao kwa mara ya kwanza Tangu historia ya Zanzibar wametolewa kutoka bara na wote ni maafisa wa usalama wa Taifa wamekuja kwa maagizo maalum ya Rais Magufuli kwa waahakikishe kwamba wagombea wa ACT-Wazalendo wanaenguliwa.
Amesema kuwa unakuta wagombea wanaambiwa wamewekewa pingamizi na mgombea wa chama fulani na wakati huohuo mwanachama huyo anakataa kuwa hajaweka pingamizi anakataa mwenyewe anasema si kweli kwamba hajaweka pingamizi kwa barua.
Nyie ndio mnayatafuta sana kutoka huko yaliko na kuyaleta. Msidhani kuwa nyie ndio mtabaki salama. SASA BASINina wasiwasi na uraia wako, ipo siku tutakubamba tu. Unaiombea Tanzania machafuko!!
Mkapa alikuja gundua kuwa alitenda dhambi."Sasa imetosha! Kuweni tayari wakati wowote".
Kwa wenye utaalamu na lugha ya mwili watutafsirie, Maalim Seif muda wote kwenye hii video hakuangalia camera, macho yake yalikuwa yanaangalia chini aidha kulikuwa na mahali anasoma anacho kiongea ama kuna ishara gani yenye kuendana na kauli yake?
Na kwa kauli hii ni hishara ya wazi kwamba mwaka huu hakutakuwa na uchaguzi, kwa sababu muda mfupi uliopita marehemu mzee Mkapa aliomba msamaha na kujutia mauaji ya kisiasa yaliyofanywa na polisi huko huko ZNZ kwa amri yake akiwa kama amiri jeshi mkuu.
Je hali hiyo inakwenda kujirudia muda mfupi baada ya kauli ya mkapa?
Je upuuzi huu unaofanywa na tume unalengo la kusababisha machafuko?
Je ni njama zenye lengo la kubaki madarakani kwa muda wa ziada?
Je ni kweli ZNZ ina raisi wake na serikali yake ya mapinduzi?
Kama kweli raisi na serikali ya mapinduzi ya Zanzibar vipo kisheria, je magufuli havunji sheria kwa kuingilia uchaguzi wa ZNZ hali yakuwa yeye si mzanzibari?
"Mkapa alikuja gundua kuwa alitenda dhambi."Mkapa alikuja gundua kuwa alitenda dhambi.
Akatubu na akatoa ushauri ili watakaomfuata wajifunze na wasirudie makosa aloyafanya.
Jiwe kwa makusudi mazima anayarudia sijui kwa faida ya nani.
Kama hajui, hii nchi si yake peke yake ni yetu sote hata sisi wengine, wanyonge na malofa. SASA BASI.
AMEN"Mkapa alikuja gundua kuwa alitenda dhambi."
Na hili naamini kwamba alisamehewa kwa kuwa alieleza wazi makosa yake yalitokana na taarifa potofu alizopewa na kama kiongozi hakupata muda wakuzihakiki kwa kuwa aliwaamini waliompa taarifa.
"Jiwe kwa makusudi mazima anayarudia sijui kwa faida ya nani."
Kwa kuwa anayarudia kwa makusudi basi katika hali hiyo hatuto sameheana adi mbele ya m/mungu tunakwenda kuanzisha mashtaka, maana mahakama za hapa duniani ni za kwao wanaweza kulitolea hukumu ya kujipendelea.
Wewe ni mzima?Maalim anaonekana ni mgonjwa kweli kweli.