Zanzibar 2020 Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif atoa msimamo juu ya wagombea ACT-Wazalendo kuenguliwa

Zanzibar 2020 Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif atoa msimamo juu ya wagombea ACT-Wazalendo kuenguliwa

Muangalie Maliim body language yake na hasa macho yake halafu ulinganishe na kile anachosema. Najiuliza tumefikaje hapa? NEC isipochukua hatua kitanuka jamani. Je ni lazima tufike huko? Tafakari tunaipeleka wapi nchi yetu. Mola atusaidie-baada ya Jecha ndio hili balaa, wanaosikia wasikie vinginevyo,,,,,,
 
Bahati nzuri liwao na liwe si kwa CCM peke yake. Linaweza likawa kwao wao wenyewe ACT
 
Yaan ccm na utekelezaji wote ule wa ilani kama wanavyojigamba, bado waoga kwenye kura
shangaa.

Mpaka Magufuri anaogopa majukwaa, haelewi ataawambia nini watanzania. yale mambo alikuwa ana rehersal kwa miaka mitano majukwaani ghafla yamempotea.

alizoea kutuambia watanzania msiwe na wasiwasi mambo yako vizuri huku anatunyima fursa ya kuuliza yako viruzi kivipi au kuturuhusu tueleze tunavyoona.

sasa mambo yamegeuka, hakuna anayekata kumsikiliza, wote tunataka kuongea, malalamiko na manung'uniko yetu tunayamwaga sasa.
tukimaliza kuongea 28th october tuna mvote out.
 
Chadema na ACT sasa CCM wamewarahisishia kazi ya kuitangazia dunia udhalimu wa utawala wa awamu ya tano. Tengenezeni documentary iliyoshiba matendo ya kiharamia yaliyowafanywa na CCM ikishirikiana na vyombo vyake vya kimabavu tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi na hitimisho la documentary hiyo iwe ni vitendo vinavyoendelea sasa hivi kwenye mchakato wa uchaguzi mkuu ujao.
 
Huyu MTU kila uchaguzi munamfanyia figisu na kusema sawa anatuliza wanachama wake sada kashachoka liwalo na liwe bora wabaki wa chache lkn heshima iwepo
 
Uchaguzi si kigezo cha kukabidhi nchi kwa Mawakala wa Masultan
KULINDA MAPINDUZ ni jukumu la lazima la Rais na JPM anajua hilo
 
Back
Top Bottom