Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Ndivyo alivyokuambia Pengo?Uchaguzi si kigezo cha kukabidhi nchi kwa Mawakala wa Masultan
KULINDA MAPINDUZ ni jukumu la lazima la Rais na JPM anajua hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo alivyokuambia Pengo?Uchaguzi si kigezo cha kukabidhi nchi kwa Mawakala wa Masultan
KULINDA MAPINDUZ ni jukumu la lazima la Rais na JPM anajua hilo
Nami ndivyo nionavyo. Yawezekana wanafanya figisu kwa makisudi ili uchaguzi uahirishwe au Wapinzani wazire ili yatokee kama ilivyokuwa kwenye Serikali za Mitaa. Jambo ambalo safari hii halitawezekana. Wameshaamua liwalo na liwe lkn hakuna kuweka mpira kwapani.Hatutaki yatokee yaliyotokea Gambia, ajiandae rasmi kukukubali maamuzi yetu kama anavyoyategemea, huu ujanja ujanja anaotaka kufanya ili uchaguzi usifanyike hautamfanya aendelee kuwa rais.
uchaguzi ni lazima ufanyike ili aondoke.
Mikwara mbuzi imeshazoeleka.Inasemekana hao jamaa wa tume tayari wameshajuulikana wanapoishi na mienendo yao yote, vijana wamejipanga kuhakikisha hawarudi kwao wakiwa wazima. Linangojewa tamko tu. Kuweni makini vyombo vya usalama, musisubiri watu wafe ndio mnaenda kufanya uchunguzi.
Naam hiki ndicho ambacho "tume ya uchafuzi" imekuwa ikikitafuta muda wote...
Maalim Seif Hamad amesema kuwa Rais Magufuli akizungumza na balozi mwaka huu alimhakikishia balozi kuwa kutakuwa na uchaguzi huru na haki na wazi lakini amesema kwa sasa wananchi wanachokishuhudia ni tofauti kabisa na maneno hayo na si tu kwa Tanzania bara lakini pia hata Zanzibar unga umezidi maji.
Amesema wanayo taarifa Pemba karibu wagombea wote wa ACT-Wazalendo waliwekewa pingamizi za kipumbavu kabisa na kwa sasa 8 kati yao wameruhusiwa kuendelea kugombea na 10 bado wanasubiri maamuzi.
Ambapo jambo la kusikitisha ni kwamba wanaoweka pingamizi ni wasimamizi wa uchaguzi ambao kwa mara ya kwanza Tangu historia ya Zanzibar wametolewa kutoka bara na wote ni maafisa wa usalama wa Taifa wamekuja kwa maagizo maalum ya Rais Magufuli kwa waahakikishe kwamba wagombea wa ACT-Wazalendo wanaenguliwa.
Amesema kuwa unakuta wagombea wanaambiwa wamewekewa pingamizi na mgombea wa chama fulani na wakati huohuo mwanachama huyo anakataa kuwa hajaweka pingamizi anakataa mwenyewe anasema si kweli kwamba hajaweka pingamizi kwa barua.
Hata Rwanda ilianza mikwara mbuzi mwisho wa siku damu zilimwagwa mpaka leo kuna kumbukumbu mbaya isiyosahaulika.Mikwara mbuzi imeshazoeleka.
ikulu alienda kufanya nini waliazimia nini mbn akusema siasa imejaa mazogo mikasa ya kutovelewana abasa ya ongo wachache kufaidishana dalasa ubongoKuna video inazunguka Mwanyekiti wa ACT wazalendo bwana Seif anasema Sasa inatosha.
Inakuwaje watu kutoka bala wapelekwe Zanzibar kusimamia uchaguzi?
Inakuwaje waje na maelekezo kutoka juu? Kwa Magufuli?
Inakuwaje wawe maafisa wa usalama wa taifa?
Inakuwaje vyama vingine vilazimishwe kuwawekea pingamizi wagombea wa ACT?
Amesema Sasa basi inatosha.
View attachment 1550611View attachment 1550612
Basi waengueni kama nyinyi wanaume, naona mmetoa list cjamuona mbunge wa pemba alienguliwa. Sisi sio watanganyika mkuu wachezeeni kina Mbowe. Siku Maalim akitoa kauli haturudi nyuma hata iweje.Mikwara mbuzi imeshazoeleka.
Sasa mtu mwenyewe yuko wapi kama sio tu kutaka kuwatengenezea watu EDAHuyu MTU kila uchaguzi munamfanyia figisu na kusema sawa anatuliza wanachama wake sada kashachoka liwalo na liwe bora wabaki wa chache lkn heshima iwepo
Kwani maalim ana kifaa cha hosp. kwny moyo mkuu?Huyu mgombea , angejitoa tu kugombea Ili Chama kiteue mtu mwingine wa kupeperusha bendera huko zanziba, sjui Mimi namuonaje!
Namuona ni kama kiafya hayuko Sawa Sawa, sijui uzee labda, Yesu Kristo nihurumie
Na Mungu Mwenyezi mpe nguvu mtumishi wako na mgombea uraisi wetu
Umeona hapo nimeandika jina Hilo ulilotaja wewe mkuu?Kwani maalim ana kifaa cha hosp. kwny moyo mkuu?
Aaanha sawa mkuu,ninekuelewa vzr kumbe pacemaker ni hatari.Umeona hapo nimeandika jina Hilo ulilotaja wewe mkuu?
Tanzania tupo vizuri mkuu. Wala usihofu.Hata Rwanda ilianza mikwara mbuzi mwisho wa siku damu zilimwagwa mpaka leo kuna kumbukumbu mbaya isiyosahaulika.
Busara ikitawala ni bora kuliko ujinga uitwao maarifa!!
Mtatulizwa tu mkuu. Hizo motomoto zenu zinazimwa pasipo hofu.Basi waengueni kama nyinyi wanaume, naona mmetoa list cjamuona mbunge wa pemba alienguliwa. Sisi sio watanganyika mkuu wachezeeni kina Mbowe. Siku Maalim akitoa kauli haturudi nyuma hata iweje.
Hata mwendawazimu aliyeko jalalani huona wapita njia wote ndio wehu!Tanzania tupo vizuri mkuu. Wala usihofu.
Haki ipo Tanzania, ukiamua kuishi bila kuheshimu wengine ni lazima uone kama vile haki haupo.Hata mwendawazimu aliyeko jalalani huona wapita njia wote ndio wehu!
Tupo vizuri ikiwa haki, upendo na amani yetu havitachezewa.
Hakuna mahali duniani mtutu na mabavu viliwahi kuleta amani. Egypt na Palestina ni mifano tosha ama kote alikovuruga USA na mabavu yake wapi pametulia?