Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
Vijana hawaijui hii nchi... juzi tu alipoingia samia.... wametekwa wengi tu wenye keleleHawakuwahi KUONDOKA WAPO SANA
kwa kikwete ULIMBOKA alitekwa hata JK hakujua.....amekuja kumuona muhimbili....
Roma alitekwa kwa makosa ya kipind cha JK, mwanzon mwa utawala wa JPM....