Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
bado hamuijui hii nchiHakuna system inaweza kufanya jambo bila mkuu wao kujua au kupewa taarifa ya operation hiyo na kuiridhia. Hiyo system inaongozwa na watu ambao kwa ukubwa wake ni wateule wa Rais.
Na kama utaicha system ifanye kazi bila kukutaarifu wewe ipo siku watakugambanisha na wananchi uwajibike wewe wakati wao wakila maisha kwa dhulma zao.
Rejea viongozi wengi wa hizi unazoita system walivyowajibishwa baada ya kufanya bila matakwa ya mkubwa wao.
Kwakifupi kila kitu kinachoendelea Samia anakibariki na kama analazimishwa basi ujue hatuna Rais na hii ni hatari kubwa sana.