Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
Vijana hawaijui hii nchi... juzi tu alipoingia samia.... wametekwa wengi tu wenye keleleHawakuwahi KUONDOKA WAPO SANA
Lizee nimeshazeeka badala lilee wajukuu eti siaaaso now days siasa inahitaji under 18 tu, ama unakusuduia kusema nini Chief?.
nb:, kuwa katika system kusitufanye tusahau kuwa kuna maisha nje system.
Wanakamatwa sio kutekwa polisi hawateki wanakamata SEMA walikamatwa we anawahi kusema kutekwa ,ukifanya mgumu lazima ukalishweVijana hawaijui hii nchi... juzi tu alipoingia samia.... wametekwa wengi tu wenye kelele
kwa kikwete ULIMBOKA alitekwa hata JK hakujua.....amekuja kumuona muhimbili....
Roma alitekwa kwa makosa ya kipind cha JK, mwanzon mwa utawala wa JPM....
Mungu atuepushe na hii dhahama tena jamani.View attachment 1961683
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa , ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye , tena bila kusema wanampeleka wapi .
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia .
kuna watu au SYSTEM NI ZAID YA RAIS WA NCHIKwamba Rais anaburuzwa na watu fulani siyo ?
YaaniSasa hivi ukitaja neno katiba mpya tu jiandae.
Wafuasi wa jiwe bado wapokuna watu au SYSTEM NI ZAID YA RAIS WA NCHI
Why lissu hataki kurud ikiwa aliyekuwa adui yake JPM hayupo?
Why ROMA katelekeza familia ikiwa mliyesema anateka hayupo?
kuna mamlaka zaid ya raisi
NI HERI UPOTEZWE MTU MMOJA KWA MANUFAA YA WATZ MILLion 50
MUULIZE DR.ULIMBOKA ENZ ZA JK......HATA JK ALISHTUKIA MTU YUPO MUHIMBILI
system ilishafanya yake
Bado hujanishawishi , unayakumbuka yaliyompata Ben Saanane ?kuna watu au SYSTEM NI ZAID YA RAIS WA NCHI
Why lissu hataki kurud ikiwa aliyekuwa adui yake JPM hayupo?
Why ROMA katelekeza familia ikiwa mliyesema anateka hayupo?
kuna mamlaka zaid ya raisi
NI HERI UPOTEZWE MTU MMOJA KWA MANUFAA YA WATZ MILLion 50
MUULIZE DR.ULIMBOKA ENZ ZA JK......HATA JK ALISHTUKIA MTU YUPO MUHIMBILI
system ilishafanya yake
Mungu wa Mbinguni atuinulie Macho sisi watumishi wake tutaishaWatu turudi kufunga na kumlilia Mungu yeye anasikia na atatenda kama alivyotenda hapo kabla.
Mungu anamchukia mwenye kudhulumu na kutesa, hakika atamuabisha hapa hapa duniani.
Akili zenyewe ndo kama zako kisha mnataka kuongoza nchiBora ningezaliwa mbwa Ulaya
Hakuna system inaweza kufanya jambo bila mkuu wao kujua au kupewa taarifa ya operation hiyo na kuiridhia. Hiyo system inaongozwa na watu ambao kwa ukubwa wake ni wateule wa Rais.kuna watu au SYSTEM NI ZAID YA RAIS WA NCHI
Why lissu hataki kurud ikiwa aliyekuwa adui yake JPM hayupo?
Why ROMA katelekeza familia ikiwa mliyesema anateka hayupo?
kuna mamlaka zaid ya raisi
NI HERI UPOTEZWE MTU MMOJA KWA MANUFAA YA WATZ MILLion 50
MUULIZE DR.ULIMBOKA ENZ ZA JK......HATA JK ALISHTUKIA MTU YUPO MUHIMBILI
system ilishafanya yake
SAWA.Lizee nimeshazeeka badala lilee wajukuu eti siaaa
USSR
Chadomo wasipo jua haya wataendelea kusubilia eti nani awe raiskuna watu au SYSTEM NI ZAID YA RAIS WA NCHI
Why lissu hataki kurud ikiwa aliyekuwa adui yake JPM hayupo?
Why ROMA katelekeza familia ikiwa mliyesema anateka hayupo?
kuna mamlaka zaid ya raisi
NI HERI UPOTEZWE MTU MMOJA KWA MANUFAA YA WATZ MILLion 50
MUULIZE DR.ULIMBOKA ENZ ZA JK......HATA JK ALISHTUKIA MTU YUPO MUHIMBILI
system ilishafanya yake
Narudia tena nilimshauri Sana beni kuwa anapoingia sio size yake ,akawekwa hukoBado hujanishawishi , unayakumbuka yaliyompata Ben Saanane ?