Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
bado hamuijui hii nchiHakuna system inaweza kufanya jambo bila mkuu wao kujua au kupewa taarifa ya operation hiyo na kuiridhia. Hiyo system inaongozwa na watu ambao kwa ukubwa wake ni wateule wa Rais.
Na kama utaicha system ifanye kazi bila kukutaarifu wewe ipo siku watakugambanisha na wananchi uwajibike wewe wakati wao wakila maisha kwa dhulma zao.
Rejea viongozi wengi wa hizi unazoita system walivyowajibishwa baada ya kufanya bila matakwa ya mkubwa wao.
Kwakifupi kila kitu kinachoendelea Samia anakibariki na kama analazimishwa basi ujue hatuna Rais na hii ni hatari kubwa sana.
View attachment 1961683
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa , ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye , tena bila kusema wanampeleka wapi .
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia .
Mara zote wakiwakamata watu unguja wanaleta Tanganyika , MbweniUnguja watampeleka wapi?Yupo kituo cha polisi mwembe mchomeke au dole!
Tena safari hii naona wamevaa ushungi.Ina maana wasiojulikana wamerudi tena
beni alivuka mipaka,tena alipewa upendeleo ,alionywa kabisa, akapost fbBado hujanishawishi , unayakumbuka yaliyompata Ben Saanane ?
Wewe ndio huijui kabisa, kila mtu unayemsikia au kumuona kuna mtu kamuambia akafanye nini ndio maana Rais akishapata madaraka anaweza fumua kila idara na kuweka mtu wake atakaye submit kwake na kama yupo Rais mjinga kias hicho cha watu kufanya mambo kwa story za system basi huyo ni mjinga.bado hamuijui hii nchi
Usiamini kila ukisomachoIna maana wasiojulikana wamerudi tena
Kwenye jukwaa hili siyo mahali pako. Hili ni jukwaa la wasio na uwendawazimu.Wanakamatwa sio kutekwa polisi hawateki wanakamata SEMA walikamatwa we anawahi kusema kutekwa ,ukifanya mgumu lazima ukalishwe
USSR
Ina maana kosa lake ni kusema tu kuwa IGP Sirroooo, ndiye gaidi no 1 nchini??View attachment 1961683
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa , ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye , tena bila kusema wanampeleka wapi .
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia .
Hivi una kichwa au kilikwisha katwa?Ameyataka mwenyewe mzee mzima ndio anashobokea siasa
USSR
Shetani hana rafiki , baada ya Ben unayefuata ni wewe , kama unabisha waulize Nape na Kinanabeni alivuka mipaka,tena alipewa upendeleo ,alionywa kabisa, akapost fb
kilichofata ni historia
mbona wanakula maisha tuShetani hana rafiki , baada ya Ben unayefuata ni wewe , kama unabisha waulize Nape na Kinana
Juzi Mama aliforce kuuheshimiwa naona majamaa wanatekelezaView attachment 1961683
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa , ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye , tena bila kusema wanampeleka wapi .
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia .
Ameyataka mwenyewe wacha tuhangaike na tozo zetu.View attachment 1961683
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa , ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye , tena bila kusema wanampeleka wapi .
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia .
Mzee gani asie na adabu, si ajabu na nyie mnakuwa wahuni tuView attachment 1961683
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa , ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye , tena bila kusema wanampeleka wapi .
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia .
JPM mlikuwa mnamsingizia tu, wengi hamjui kuna kitu kinaitwa SYSTEM, ndio maana lissu alikuwa anadai adui yake JPM, lkn cha ajabu hadi kesho anaogopa kurudi
je JPM bado yupo?
kutekwa kupo tokz enzi za JK NYERERE,mwinyi, mkapa,kikwete
`
Unguja, kule kwa Mwinyi, au ipo Unguja nyingine?View attachment 1961683
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema kwa sasa , ambapo watu wasiofahamika wakiwa na bunduki wamemchukua Mzee Hashimu Issa nyumbani kwake Unguja na kuondoka naye , tena bila kusema wanampeleka wapi .
Taarifa zaidi zitaendelea kuwajia kwa kadri zitakavyotufikia .
Ungemjibu alichokuuliza ingependeza zaidi. Siasa wafanye under 18 tu?Lizee nimeshazeeka badala lilee wajukuu eti siaaa
USSR