Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu akataa Unyonge, aelekea Singida na Timu yake kuunganisha Nguvu kwa Tundu Lissu!

Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu akataa Unyonge, aelekea Singida na Timu yake kuunganisha Nguvu kwa Tundu Lissu!

Ila Lissu ni kama anapambana man alone sana, ndio kusema cdm imemtosa au wjat is going on? Au ni project yake binafsi??
Maana hata majukwaa yake ya kupigia kazi yamekaa kinyonhe nyongeeee kama muhubiri wa kilokoleee

Hii sio hoja. Ni hisia zako tu..

Ni mipango na utaratibu wa chama tu kulingana programs za chama na uwepo wa rasrimali fedha za chama..

Hata hivyo, Tundu Lissu na CHADEMA are doing very great job with very very serious damages to CCM huko kanda ya kati - Singida, Dodoma na Morogoro..

By the way, ukijiuliza swali hili kwa CHADEMA, then, hata huko CCM watu wengine wanaweza kujiuliza pia swali hilohilo, kuwa;

Mbona Emmanuel Nchimbi (katibu mkuu CCM) na katibu mwenezi wake Makalla na yule RC - Arusha Paul Makonda ni kama wanapambana kivyao? Ina maana CCM imewatelekeza?

Jibu ni HAPANA, it's just part of Party plans
 
Ila Lissu ni kama anapambana man alone sana, ndio kusema cdm imemtosa au wjat is going on? Au ni project yake binafsi??
Maana hata majukwaa yake ya kupigia kazi yamekaa kinyonhe nyongeeee kama muhubiri wa kilokoleee
Nina infinix wee una Aiphone 14 pro max tukituma meseji zote huwa zinaenda na kupokelewa. Majukwaa sio ishu, ishu ule ujumbe
 
This is irrelevant example.. very OP brother
Jukwaa hutumika kwa muda mfupi sana lakini Ujumbe huishi kwenye Ubongo kwa muda mrefu. Sio ishu Lissu aendelee kutoa elimu ya uraia Watu watoke gizani
 
Mungu wake mbona kamuacha kinyonge nyonge sana. Yan anapambana kinyonge sana..
Laiti kama zile nondo zake zingekua zinaambatana na mziki mnene plis yale majukwaa ya jui ya scania na msafara wa wasanii, na migao ya tishirt za chama na kofia, hakyanani zile hoja zingewaingia sana watanzania ,maana ni nzito mnooo. Ingeleta inoact sana

Sema mazingira yanamuangusha sana Lissu
Lisu siyo mjinga, hawezi kufanya hayo, anajua kampeni haijaanza. Unataka afungiwe?
 
Ila Lissu ni kama anapambana man alone sana, ndio kusema cdm imemtosa au wjat is going on? Au ni project yake binafsi??
Maana hata majukwaa yake ya kupigia kazi yamekaa kinyonhe nyongeeee kama muhubiri wa kilokoleee
Mkuu, acha basi kutulinganisha walokole na wanasiasa. Sisi tunatumia raslimali zetu binafsi na sadaka kidogo kuhubiri Injili; wanasiasa wanapesa za ufisadi, rushwa, ufadhili toka kwa mashoga, nk
Lisu ana ukwasi wa kutosha toka ulaya na marekani, anatumia tu hivyo vijukwaa akidhani vitamsaidia kujificha. Kumbe watu wanajua yote, ila wanamdeku tu!
 
Back
Top Bottom