Tulimwqmbiagq muda tu kuwa wachagga wanatumia umaarufu wake tu na iko siku watamtekeleza ,hapa ni mwanzo tuView attachment 3013712
Mwenyekiti kazuia machawa wake kumpigia promo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulimwqmbiagq muda tu kuwa wachagga wanatumia umaarufu wake tu na iko siku watamtekeleza ,hapa ni mwanzo tuView attachment 3013712
Mwenyekiti kazuia machawa wake kumpigia promo.
Ila Lissu ni kama anapambana man alone sana, ndio kusema cdm imemtosa au wjat is going on? Au ni project yake binafsi??
Maana hata majukwaa yake ya kupigia kazi yamekaa kinyonhe nyongeeee kama muhubiri wa kilokoleee
Nina infinix wee una Aiphone 14 pro max tukituma meseji zote huwa zinaenda na kupokelewa. Majukwaa sio ishu, ishu ule ujumbeIla Lissu ni kama anapambana man alone sana, ndio kusema cdm imemtosa au wjat is going on? Au ni project yake binafsi??
Maana hata majukwaa yake ya kupigia kazi yamekaa kinyonhe nyongeeee kama muhubiri wa kilokoleee
Pole!Naona wameamua kuweka kambi porini mjini wamepuuzwa!
This is irrelevant example.. very OP brotherNina infinix wee una Aiphone 14 pro max tukituma meseji zote huwa zinaenda na kupokelewa. Majukwaa sio ishu, ishu ule ujumbe
Jukwaa hutumika kwa muda mfupi sana lakini Ujumbe huishi kwenye Ubongo kwa muda mrefu. Sio ishu Lissu aendelee kutoa elimu ya uraia Watu watoke gizaniThis is irrelevant example.. very OP brother
Lisu siyo mjinga, hawezi kufanya hayo, anajua kampeni haijaanza. Unataka afungiwe?Mungu wake mbona kamuacha kinyonge nyonge sana. Yan anapambana kinyonge sana..
Laiti kama zile nondo zake zingekua zinaambatana na mziki mnene plis yale majukwaa ya jui ya scania na msafara wa wasanii, na migao ya tishirt za chama na kofia, hakyanani zile hoja zingewaingia sana watanzania ,maana ni nzito mnooo. Ingeleta inoact sana
Sema mazingira yanamuangusha sana Lissu
Okay sawa kama ni hivyo!.Lisu siyo mjinga, hawezi kufanya hayo, anajua kampeni haijaanza. Unataka afungiwe?
Haya, nisikuchoshe. Maana yako memgi sana unayotakiwa kutambuaJukwaa hutumika kwa muda mfupi sana lakini Ujumbe huishi kwenye Ubongo kwa muda mrefu. Sio ishu Lissu aendelee kutoa elimu ya uraia Watu watoke gizani
Erythrocyte, hizi habari ni za kweli?Mwenyekiti wa Bavicha John Pambalu ametoa taarifa kuwa Kesho anaelekea Singida Kuungana na Makamu mwenyekiti mh Tundu Lissu
Mkuu, acha basi kutulinganisha walokole na wanasiasa. Sisi tunatumia raslimali zetu binafsi na sadaka kidogo kuhubiri Injili; wanasiasa wanapesa za ufisadi, rushwa, ufadhili toka kwa mashoga, nkIla Lissu ni kama anapambana man alone sana, ndio kusema cdm imemtosa au wjat is going on? Au ni project yake binafsi??
Maana hata majukwaa yake ya kupigia kazi yamekaa kinyonhe nyongeeee kama muhubiri wa kilokoleee