Lisa Rina
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 2,461
- 4,368
Ni hatari sana kwa raia kama kiongozi anaetoa maagizo hayuko stable kichwaniSio kosa lao wasipotenda ufukuzwa kazi.Kazi ya polisi ni kutii maagizo ya wanasiasa uruhusiwi kuhoji au kupinga.Viongozi dhaifu utumia polisi kujibu hoja