Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro aliyeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Moshi asafirishwa kuelekea Dar es Salaam

Mwenyekiti wa BAVICHA Kilimanjaro aliyeshikiliwa kituo kikuu cha Polisi Moshi asafirishwa kuelekea Dar es Salaam

Sio kosa lao wasipotenda ufukuzwa kazi.Kazi ya polisi ni kutii maagizo ya wanasiasa uruhusiwi kuhoji au kupinga.Viongozi dhaifu utumia polisi kujibu hoja
Ni hatari sana kwa raia kama kiongozi anaetoa maagizo hayuko stable kichwani
 
Hawawezi kuiua CDM hivi karibuni kama wanavyodhani ikiwa bado inawatesa namna hii, sasa ni dhahiri CCM hawalali CDM inawafanya wakeshe.

Vyema wakumbuke hao wanaowatesa namna hiyo kila siku ni watoto wa watanzania wenzao, na hii nchi sio ya kikundi cha watu fulani, ni yetu sote.



Sent using Jamii Forums mobile app
Unapokua na genge la wahalifu lililojificha kwenye kichaka cha chama cha siasa, Kwa vyovyote vile serikali makini haiwezi kulala ili kuhakikisha usalama wa raia wake unalindwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mjue Serikali ina bajeti ya kuchezea chezea na kuna watu hapa nchini wanaoga pesa ya serikali. Hicho kiwese cha kutoka usangi hadi dsm kisa tu mtu kapiga picha ya gari ya ofsa. Hio pesa ya kiwese mngewapa dogo dogo centre wangekula wali nyama na kufurahi.
Kiufupi ya all useless. Ila ndio hivyo Mungu kawainua mmefika hapo mlipo. Japo mtashushwa tu
Wewe mwenye uelewa mdogo ndo unaona hiyo gari ni ya ofisa tu imepigwa picha. Lakini kiusalama hicho ni kitendo cha hatari sana ambacho hakiwezi kupuuziwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata na huyu anasafirishwa kwenda daslam.?

verywonderfool

Mchome anatengenexewa umaarufu wa bure kwa kupelekwa dsm

wangechukua kamera wakafuta picha,issue ikaisha...
 
Huu ndo wakati wa CHADEMA kutoka huko mafichoni na kuanza kupiga jaramba mdogo mdogo.

Hawa jamaa wakiachiwa uwanja patakucha kwa kweli.
Hayo ya jaramba yataishia huko huko mitandaoni! Hakuna nyumbu mwenye uthubutu wa kupiga jaramba live! Hakuna!
 
Watu tunapiga picha gari ya Rais ndo iwe hiyo ya huyo Afisa wa TISS?
 
Serikali ingepambana na corona kwa juhudi kama hizi za kupambana na CHADEMA, wallahi, corona ingeshapotea zamani.
Serikali zote zinazoelekea mwisho hufanya kama inavyofanya serikali ya Tanzania
 
Back
Top Bottom