Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga .
Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha gari la serikali linalotumiwa na ofisa wa serikali kihalali hatujui adhabu yake itakuwa nini .
#Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka ili kujikinga na virusi vya Corona