Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Kilimanjaro akamatwa na Polisi akidaiwa kupiga picha gari la Mkurugenzi wa TISS

Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Kilimanjaro akamatwa na Polisi akidaiwa kupiga picha gari la Mkurugenzi wa TISS

Kama ni kinyume na sheria acha akamatwe na ashtakiwe.

Ila nyinyi mnaodai eti amepiga picha ili akatungie uongo hivyo amekamatwa hilo siyo kosa as huwezi mshtaki mtu kwa kosa ambalo hajafanya bado.
 
Mpaka hiyo gari inapigwa picha at 'a very close range' walinzi wa DG wa TISS walikua wapi?? Au dereva wa DG wa TISS ambaye naye ni mtu wa kitengo alikuwa wapi??? Tuanzie hapa
 
Watu nyeti wana kimbilia vijijini vp usalama wao ..waki dunguliwa uko kodi zetu zitumike kuwaomboleza wao na kushusha bendera ya nchi yetu nusu mligoti

sijui itakuaje
 
View attachment 1446830

Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga .

Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha gari la serikali linalotumiwa na ofisa wa serikali kihalali hatujui adhabu yake itakuwa nini .

#Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka ili kujikinga na virusi vya Corona
Ashughulikiwe huyo nyumbu maana saa hizi wameanza rafu mbalimbali dhidi ya viongozi wakubwa wa taifa
 
Sioni ubaya kama mtu amejihami na kuamua kwenda mahali salama so haiwezi kuw habari.
Ila wa Tz this is too much can we sometimes mind our business maana naona tunaanza kuingilia ad privacy za watu mtu kurud kwao sio dhambi wakuu.

Tuache siasa tudeal na vitu vyenye maslai na nchi yetu haya mengin ni makapi tu
 
Ni kweli Mkuu
inasemekana huyu jamaa alifiwa na mdogo wake
hivyo alikuwa Msibani, na kwa vile ana usafiri na katika maelekezo yao anaruhusiwa likizo ya msiba na mambo mengine km usafiri na masurufu
 
Ni kweli Mkuu
inasemekana huyu jamaa alifiwa na mdogo wake
hivyo alikuwa Msibani, na kwa vile ana usafiri na katika maelekezo yao anaruhusiwa likizo ya msiba na mambo mengine km usafiri na masurufu
Unaona sasa kumbe mtu kaenda msibani,ivi bongo kuna sheria ya mtu kuinvade privacy ya mtu?? Na hukumu yake imekaaje??
 
Back
Top Bottom