Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Kilimanjaro akamatwa na Polisi akidaiwa kupiga picha gari la Mkurugenzi wa TISS

Kumbe diwani athumani ni Mpale?
View attachment 1446830

Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga .

Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha gari la serikali linalotumiwa na ofisa wa serikali kihalali hatujui adhabu yake itakuwa nini .

#Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka ili kujikinga na virusi vya Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bavicha mna mambo ya ajabu haijawahi tokea

Yani kwa changamoto zoooote mlizonazo mnapata muda wa kupiga picha gari za DG wa Tiss?
View attachment 1446830

Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga .

Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha gari la serikali linalotumiwa na ofisa wa serikali kihalali hatujui adhabu yake itakuwa nini .

#Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka ili kujikinga na virusi vya Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hiyo gari ina siri gani mpaka polisi wanahaha namna hiyo?
Kapige picha kambi ya jeshi bila ridhaa yao uone mziki wake

Kifaa cha usalama wa taifa iwe gari au afisa mwenyewe Ni Siri .Yeye kaweka wazi Kama Nani? Atawaeleza hao polisi????? Waliomkamata Athuman Diwani alikuwa polisi na Hakuna alijua kuwa Ni usalama wa taifa Tena ngazi ya juuu

Bila Shaka huyo mpiga picha atapata nafadi nzuri tu ya kuelezea kilichomsukuma asipige miti picha ya upareni ila apige nyumban kwa mkurugenzi wa usalama wa taifa na gari yake na makazi yake no
Naamini hata adipopelekwa mahakamani majibu atakuwa kayatoa na wao watakuwa wamempa maswali ya kutosha ya kukiweka kichwa chake sawa kiasi kuwa akiondoka hata Kama hatapelekwa mahakamani akiona gari ya usalama wa taifa atakuwa anaikimbia Kama mwehu na kuweweseka usiku kucha

Namtakia mahojiano mema na polisi!!!!!
 
Amesema aliyepiga ni DEREVA wake.
Haina shida kwa hiyo alipiga akampa Haina tatizo madereva hujielewa kuliko kawaida mwanzo kabla chumvi haijakolea aweza sema chochote sababuyeye kiongozi mkubwa chadema polisi wakimhoji lazima atakuwa alikalishwa kwenye sofa zuri mbeleni kitaeleweka Happ alihojiwa na receptionist wa polisi!!! Sio makarani wa polisi ambao baadaye humpeleka kwa maofisa wa polisi kwa mahojiano zaidi
 
Ngoja tuone lakini hakuna kesi hapo,wanatafuta tu connection ya kigogo na hao jamaa wa kilimanjaro maana kigogo ametoa hadi taarifa za hotel aliyofikia DIJII WA TEETH.
 
Kesi ipo ila siweki hapa Tena kesi mbaya Sana sitaki ku pre empt lakini huyo sio wa kutoka Leo Wala kesho huyo.mpiga picha .Mambo mengine mabaya ya kujitakia hayahitaji mtu.mwingine aseme pole kwa matatizo
 
Kesi ipo ila siweki hapa Tena kesi mbaya Sana sitaki ku pre empt lakini huyo sio wa kutoka Leo Wala kesho huyo.mpiga picha
Anatoka mkuu ngoja Jebra Kambole,John Mallya na Kibatara wakawapige za CHEMBE kwa Pilato.
 
Haina shida kwa hiyo alipiga akampa Haina tatizo madereva hujielewa kuliko kawaida mwanzo kabla chumvi haijakolea aweza sema chochote sababuyeye kiongozi mkubwa chadema polisi wakimhoji lazima atakuwa alikalishwa kwenye sofa zuri mbeleni kitaeleweka Happ alihojiwa na receptionist wa polisi!!! Sio makarani wa polisi ambao baadaye humpeleka kwa maofisa wa polisi kwa mahojiano zaidi
Mbona umeghafilika namna hii?
 
Anatoka mkuu ngoja Jebra Kambole,John Mallya na Kibatara wakawapige za CHEMBE kwa Pilato.
Si mpaka kesi ifike kwa pilato Lema alishinda rumande miezi sita na Ni mbunge na kiongozi wa juu chadema sembuse huyo mpiga picha mjinga

Chadema ruzuku haipo Tena sababu bunge linavunjwa karibuni hao mawakili ana hela za kuwalipa?

Watamtetea chama kivipi kwani walimtuma kupiga hizo picha kuwa ohh alikuwa kwenye majukumu ya kichama ya kibavicha!!

Hilo atalinywa yeye na ndugu zake.Asitegemee chama
 
Namhurumie kipindi hiki chadema ruzuku hakina atatetewa na Nani hata aende mahakamani na mawakili wa bure hawapo hata Lisu ,kibatala na kambole hutetea kwa kwa kulipwa
Umepanic mnoo kuliko hata mke wake.
 
Back
Top Bottom