Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia utaona tu mkuu.Si mpaka kesi ifike kwa pilato Lema alishinda rumande miezi sita na Ni mbunge na kiongozi wa juu chadema sembuse huyo mpiga picha mjinga
Chadema ruzuku haipo Tena sababu bunge linavunjwa karibuni hao mawakili ana hela za kuwalipa?
Watamtetea chama kivipi kwani walimtuma kupiga hizo picha kuwa ohh alikuwa kwenye majukumu ya kichama ya kibavicha!!
Hilo atalinywa yeye na ndugu zake.Asitegemee chama
Aliyepost ni Kigogo labda yeye awe amepost kwenye ma group kisha SNITCH akawatumia POLICCM.Ok dereva amepiga na yeye akapost...kwa lengo lipi? Ignorance of the law is no defence......asome Penal Code na Act ya Intelligence and Security Service of 1996
Umepigilia msumari kuna mengine nilitaka niandike lakini si vizuri Ku pre empty atakiona cha mtema kuni oOk dereva amepiga na yeye akapost...kwa lengo lipi? Ignorance of the law is no defence......asome Penal Code na Act ya Intelligence and Security Service of 1996
Wewe unadhani alikuwa wapi.? Ushauri wangu kwako soma intelligence and security service Act of 1996....kuropoka mambo ya TISS hapa unaweza kujikuta pabayaMpaka hiyo gari inapigwa picha at 'a very close range' walinzi wa DG wa TISS walikua wapi?? Au dereva wa DG wa TISS ambaye naye ni mtu wa kitengo alikuwa wapi??? Tuanzie hapa
Ndivyo unavyodhani??!! Kapiga picha gari ya CIA, MI 5, FSB, MOSAD na intelligence ya Kim Jong Un...Hilo gari limeandika " Usipige Picha"?
Hu utawala unaishi kwa hofu sana, sana, bora hata kunguru kuliko huu utawala wa Jiwe na Gwajima
Kapige picha kambi ya jeshi bila ridhaa yao uone mziki wake
Kifaa cha usalama wa taifa iwe gari au afisa mwenyewe Ni Siri .Yeye kaweka wazi Kama Nani? Atawaeleza hao polisi????? Waliomkamata Athuman Diwani alikuwa polisi na Hakuna alijua kuwa Ni usalama wa taifa Tena ngazi ya juuu
Bila Shaka huyo mpiga picha atapata nafadi nzuri tu ya kuelezea kilichomsukuma asipige miti picha ya upareni ila apige nyumban kwa mkurugenzi wa usalama wa taifa na gari yake na makazi yake no
Naamini hata adipopelekwa mahakamani majibu atakuwa kayatoa na wao watakuwa wamempa maswali ya kutosha ya kukiweka kichwa chake sawa kiasi kuwa akiondoka hata Kama hatapelekwa mahakamani akiona gari ya usalama wa taifa atakuwa anaikimbia Kama mwehu na kuweweseka usiku kucha
Namtakia mahojiano mema na polisi!!!!!
Kama kitu hakijakatazwa means kimeruhusiwa, hao CIA, MOSSAD etc unapiga nao picha, si gari tu, wapo ndugi zetu ni CIA na wanafahamika, hapa hata ukiwa mgaombo kata kama alivyokuwa yule DC WA HAI OLE SABAYA anajiita usalama wa taifa, hovyo kabisaNdivyo unavyodhani??!! Kapiga picha gari ya CIA, MI 5, FSB, MOSAD na intelligence ya Kim Jong Un...
Mtoa mada unaendeshwa na mihemko, tulia na tafakari. Hivi kuna kosa la kupiga picha gari? No, na usitegemee such charge in the court of law. Think twice.View attachment 1446830
Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga .
Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha gari la serikali linalotumiwa na ofisa wa serikali kihalali hatujui adhabu yake itakuwa nini .
#Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka ili kujikinga na virusi vya Corona
Mimi nimekupa taarifa tu mjomba , sasa mhemko wangu ni upi hapo ?Mtoa mada unaendeshwa na mihemko, tulia na tafakari. Hivi kuna kosa la kupiga picha gari? No, na usitegemee such charge in the court of law. Think twice.
Hivi ukiwa upo nyumbani kwako umepaki gari yako uwani then mtu usiyemfahamu na usiyejua sababu unamkuta anapga picha nyumba yako na gari lako utamsalmia na kuondoka au utamkamata na kumpeleka polisi kwa mahojiano? Hii in kufanya fujo.
Huyu ni kiongozi wa idara nyeti na ni kiongozi wa kitaifa, analindwa alafu mtu tu anapga picha makaazi yake then unaona jambo la kawaida.
Tanzania ina usalama wa kutosha kwa kuwa tunaishi kwa kutilia mashaka na kuchukua hatua.
Sent using Jamii Forums mobile app
inawezekana tatizo ni caption ya kigogo ndo imewafanya kumkamata kama inavyosomeka 😷😷😷😷
Hawa vijana ndio walimuua Chacha WangweTatizo siyo gari ila vijana wa Bavicha hawaaminiki wanaweza kutumiwa na mabeberu.
Unafanya siasa kwa DG wa TISS?.........huyo bavicha kaingia cha kike!
Sasa hivi ameshitakiwa kwa kusambaza picha za ngono !Alipiga picha akiwa na nia gani?
Sasa hivi ameshitakiwa kwa kusambaza picha za ngono !
Sasa hivi ameshitakiwa kwa kusambaza picha za ngono !
Polisi ndio wanaofahamu
Kwa kifupi ukitaka kupata tabu saaana ingia mgogoro na TISS utakuwa umekwisha, maana hao jamaa hawana tabu na mtu mpaka uwaaanze wewe mwenyewe kama huyu alivyojiingiza kichwa kichwa.Tatizo siyo gari ila vijana wa Bavicha hawaaminiki wanaweza kutumiwa na mabeberu.
Unafanya siasa kwa DG wa TISS?.........huyo bavicha kaingia cha kike!