Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwan Gari Huwa Zina Siri NazoKwani hiyo gari ina siri gani mpaka polisi wanahaha namna hiyo?
Kwani mtu kwenda kwao kusalimia kuna shida gani ?Mnapiga picha halafu mnaanza kubuni maneno[emoji16]
kwa mujibu wa tweets zilizosindikiza picha hiyo ni kwamba huyo boss wa usalama kakimbia jiji sababu ya corona kaenda kufanyia kazi huko kwao mwanga kilimanjaroKwani hiyo gari ina siri gani mpaka polisi wanahaha namna hiyo?
Hiyo picha aliipiga kwa lengo gani?View attachment 1446830
Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga .
Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha gari la serikali linalotumiwa na ofisa wa serikali kihalali hatujui adhabu yake itakuwa nini .
#Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka ili kujikinga na virusi vya Corona
Weka picha ya garikwa mujibu wa tweets zilizosindikiza picha hiyo ni kwamba huyo boss wa usalama kakimbia jiji sababu ya corona kaenda kufanyia kazi huko kwao mwanga kilimanjaro
kwa mujibu wa tweets zilizosindikiza picha hiyo ni kwamba huyo boss wa usalama kakimbia jiji sababu ya corona kaenda kufanyia kazi huko kwao mwanga kilimanjaroHiyo picha aliipiga kwa lengo gani?
Itabidi akatoe ushahidi mahakamani!kwa mujibu wa tweets zilizosindikiza picha hiyo ni kwamba huyo boss wa usalama kakimbia jiji sababu ya corona kaenda kufanyia kazi huko kwao mwanga kilimanjaro
ngoja niitafute ni gari jeusi nafikiri ni la private sio la serikaliWeka picha ya gari
Kwani hiyo gari ina siri gani mpaka polisi wanahaha namna hiyo?
Yeye hakumpiga picha mtu uwe unaelewa bwashee!Kwani mtu kwenda kwao kusalimia kuna shida gani ?
Weka picha ya gari
View attachment 1446830
Lembrus Mchome anadaiwa kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kupiga picha gari la Diwani Athuman akiwa Kwao Mwanga , ambapo gari hiyo imeonekana mitandaoni ikiwa imeegeshwa maeneo ya Mwanga .
Bila shaka kesi hii ikifika mahakamani itavuta hisia za wengi , maana hata kama ni kweli , kupiga picha gari la serikali linalotumiwa na ofisa wa serikali kihalali hatujui adhabu yake itakuwa nini .
#Tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka ili kujikinga na virusi vya Corona
Tatizo siyo gari ila vijana wa Bavicha hawaaminiki wanaweza kutumiwa na mabeberu.Kwani hiyo gari ina siri gani mpaka polisi wanahaha namna hiyo?