Mwenyekiti wa BAVICHA Mkoa wa Kilimanjaro akamatwa na Polisi akidaiwa kupiga picha gari la Mkurugenzi wa TISS

Tulia utaona tu mkuu.
 
Ok dereva amepiga na yeye akapost...kwa lengo lipi? Ignorance of the law is no defence......asome Penal Code na Act ya Intelligence and Security Service of 1996
Aliyepost ni Kigogo labda yeye awe amepost kwenye ma group kisha SNITCH akawatumia POLICCM.
 
Ok dereva amepiga na yeye akapost...kwa lengo lipi? Ignorance of the law is no defence......asome Penal Code na Act ya Intelligence and Security Service of 1996
Umepigilia msumari kuna mengine nilitaka niandike lakini si vizuri Ku pre empty atakiona cha mtema kuni o
 
Mpaka hiyo gari inapigwa picha at 'a very close range' walinzi wa DG wa TISS walikua wapi?? Au dereva wa DG wa TISS ambaye naye ni mtu wa kitengo alikuwa wapi??? Tuanzie hapa
Wewe unadhani alikuwa wapi.? Ushauri wangu kwako soma intelligence and security service Act of 1996....kuropoka mambo ya TISS hapa unaweza kujikuta pabaya
 
Hilo gari limeandika " Usipige Picha"?
Hu utawala unaishi kwa hofu sana, sana, bora hata kunguru kuliko huu utawala wa Jiwe na Gwajima
Ndivyo unavyodhani??!! Kapiga picha gari ya CIA, MI 5, FSB, MOSAD na intelligence ya Kim Jong Un...
 

..mbona Diwani Athumani mwenyewe amewahi kupigwa picha?

..sembuse gari anayotumia Diwani Athumani?
 
Ndivyo unavyodhani??!! Kapiga picha gari ya CIA, MI 5, FSB, MOSAD na intelligence ya Kim Jong Un...
Kama kitu hakijakatazwa means kimeruhusiwa, hao CIA, MOSSAD etc unapiga nao picha, si gari tu, wapo ndugi zetu ni CIA na wanafahamika, hapa hata ukiwa mgaombo kata kama alivyokuwa yule DC WA HAI OLE SABAYA anajiita usalama wa taifa, hovyo kabisa
 
Kesi za Korea Kaskazini hizi Nchi inaendelea kuwa na wajinga waliopoteza muda kwenda shule...
 
Mtoa mada unaendeshwa na mihemko, tulia na tafakari. Hivi kuna kosa la kupiga picha gari? No, na usitegemee such charge in the court of law. Think twice.
Hivi ukiwa upo nyumbani kwako umepaki gari yako uwani then mtu usiyemfahamu na usiyejua sababu unamkuta anapga picha nyumba yako na gari lako utamsalmia na kuondoka au utamkamata na kumpeleka polisi kwa mahojiano? Hii in kufanya fujo.
Huyu ni kiongozi wa idara nyeti na ni kiongozi wa kitaifa, analindwa alafu mtu tu anapga picha makaazi yake then unaona jambo la kawaida.
Tanzania ina usalama wa kutosha kwa kuwa tunaishi kwa kutilia mashaka na kuchukua hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimekupa taarifa tu mjomba , sasa mhemko wangu ni upi hapo ?
 
Tatizo siyo gari ila vijana wa Bavicha hawaaminiki wanaweza kutumiwa na mabeberu.

Unafanya siasa kwa DG wa TISS?.........huyo bavicha kaingia cha kike!
Kwa kifupi ukitaka kupata tabu saaana ingia mgogoro na TISS utakuwa umekwisha, maana hao jamaa hawana tabu na mtu mpaka uwaaanze wewe mwenyewe kama huyu alivyojiingiza kichwa kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…