Mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu naye aanza safari na jeshi la polisi kutoka Mwanza kwenda Dar usiku wa leo kwa ajili ya upekuzi

Mnapanga ugaidi Kama mabomu ya olasiti mnataka muachwe tu .wajinga Sana polisi kagueni wote

USSR
 
 
Nchi inaenda kuchafuka sasa
Hahaha..inachafukajee jombaa!! Labda kama itachafukia twiraaaa au jf..ila live hakuna hiyoo..mana ww kamwee huwez jitokeza barabarani kutetea unachokiamn..utajitokeza tu barabara za jf baas..
Karibu hapa maisaka tupige moja bard mkuu utulize gadhabu za CCM..haya maisha ni kuyafurahia tu ukiwa na milo mitatu..mengine wachana nayooo
 
Sasa mtu anamiliki MITAMBO YA KUFYATUA KATIBA halafu watu wanachekelea tu 😲😲

Tundu Lissu AMEFELI tena kuwaingiza WATANZANIA BARABARANI....WATU WA MWANZA wamekataa kuingia barabarani kwa VISINGIZIO VYA HOVYO....

Ni marejeo ya WATU WA DAR kumkatalia hayo pale UBUNGO....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
 
Naona sasa dawa zinawaingia vipi tumieni wembe mliosema mnampiga mkwara mnataka akae kimya na bado mtabakia kutukana tu.
CCM ndiyo yenye ile nyimbo "wembe ni uleule..." Sasa Mdude Nyagali JIWEMBE lake BUTU....

#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…