Man from cuba
JF-Expert Member
- May 2, 2021
- 571
- 1,394
Hahahahaaaa wamiliki haramu wa kitambo ya kufyatua katiba mpya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na makucha yake.Kumekucha.....
Hakuna wa kuichafua Tanzania, labda afufuke Yesu.Nchi inaenda kuchafuka sasa
Hii ni kumi na dk 20 alfajiri.....Bado, ndio kwanza saa 7 kasoro 7 itimie 7 kamili.
Mnapanga ugaidi Kama mabomu ya olasiti mnataka muachwe tu .wajinga Sana polisi kagueni woteTaarifa za uhakika ni kuwa, mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu naye usiku wa leo ameanza safari ya kusafirishwa na jeshi la Polisi kupelekwa Dar kwa ajili ya upekuzi.
Kiongozi huyo pamoja na msaidizi wake wa idara ya uenezi wanatuhumiwa kumiliki mitambo ya kufyatua katiba.
TuliaHakuna wa kuichafua Tanzania, labda afufuke Yesu.
Taarifa za uhakika ni kuwa, mwenyekiti wa BAVICHA taifa John Pambalu naye usiku wa leo ameanza safari ya kusafirishwa na jeshi la Polisi kupelekwa Dar kwa ajili ya upekuzi.
Kiongozi huyo pamoja na msaidizi wake wa idara ya uenezi wanatuhumiwa kumiliki mitambo ya kufyatua katiba.
Hahaha..inachafukajee jombaa!! Labda kama itachafukia twiraaaa au jf..ila live hakuna hiyoo..mana ww kamwee huwez jitokeza barabarani kutetea unachokiamn..utajitokeza tu barabara za jf baas..Nchi inaenda kuchafuka sasa
Hahaha ngoja tuone mwisho wakeLini inachafuka mkuu,Nani anaichafua? Kukamatwa kwa gaidi Mbowe ndo kufanye nchi ichafuke?
Lini inachafuka mkuu,Nani anaichafua? Kukamatwa kwa gaidi Mbowe ndo kufanye nchi ichafuke?
SawaMbona imechafuka toka juzi hapa jf na twitter
CCM ndiyo yenye ile nyimbo "wembe ni uleule..." Sasa Mdude Nyagali JIWEMBE lake BUTU....Naona sasa dawa zinawaingia vipi tumieni wembe mliosema mnampiga mkwara mnataka akae kimya na bado mtabakia kutukana tu.
Mkuu kiti chake kivipi?Naona polisi wameamua kumuharibia Maza mapemaaaaaaaa,
Haya mpango piga jaramba kiti chako hichooooooo
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Jaribu kukinukisha uone utakavyogeuka mbwa coco wa jeila kama mwenyekiti wako Mbowe...Hahaha ngoja tuone mwisho wake