Mwenyekiti wa Bodi: Simba tumejipanga kusajili wachezaji wenye njaa ya mafanikio

Mwenyekiti wa Bodi: Simba tumejipanga kusajili wachezaji wenye njaa ya mafanikio

MO uwezo wake ni wachezaji wasio zidi Dola 50,000/= Kwaiyo mtaendelea kuumia.
 
Dilunga mpe heshima yake,huyo ni mtu na nusu. Kua majeruhi kusikufanye usahau mchango wake kwenye timu. Ni mmoja kati ya wachezaji wazawa ambao akiwa fit lazima acheze toka enzi za Patrick Aussems. Bila kumsahau Mzamiru, namaanisha Dilunga na Mzamiru watoe kwenye hilo kundi.
Hapo hakuna kuangalia huruma au tulipotoka mkuu Wafujo, kwani kuna wengi tu wameiletea mafanikio Klabu na muda wao umepita.

Kama tunataka kuvuka pale tunapoishia yaani robo fainali ya CAF

Yamkini lazima tuwe na Wachezaji wajuzi zaidi kuliko hawa.
 
shida si kusajili bali kuwatumia kwa usahihi wachezaji waliosajiliwa! hata mwaka huu usajili wenu Mikia FC ulikuwa mzuri sana ila kilichokosekana ni muunganiko wa wachezaji kucheza kitimu, consistently na kwa nidhamu na morali!!

Si vibaya mkimuomba ushauri na mbinu Professor Nabi nyie ni watani zetu sio maadui.

Wachazaji kama Sakho, Kibu, Banda, Inonga na Kanoute ni wazuri mno ila timu yenu haikujenga formation ya kuwaunganisha. Sisi wananchi tunapenda kuipiga timu bora ya Makolo FC sio timu mbovu kama ile mliyoleta CCM Kirumba, mtoto mdogo Feisaaaaaal anatoka na mpira toka katikati ya uwanja na kwenda kumsalimia Kakolanya bila bugudha yoyote!
Wewe topolo uko vizuri. Mwakani tunakuja kivingine, jiandaeni kumtimua huyo Prof wenu..
 
shida si kusajili bali kuwatumia kwa usahihi wachezaji waliosajiliwa! hata mwaka huu usajili wenu Mikia FC ulikuwa mzuri sana ila kilichokosekana ni muunganiko wa wachezaji kucheza kitimu, consistently na kwa nidhamu na morali!!

Si vibaya mkimuomba ushauri na mbinu Professor Nabi nyie ni watani zetu sio maadui.

Wachazaji kama Sakho, Kibu, Banda, Inonga na Kanoute ni wazuri mno ila timu yenu haikujenga formation ya kuwaunganisha. Sisi wananchi tunapenda kuipiga timu bora ya Makolo FC sio timu mbovu kama ile mliyoleta CCM Kirumba, mtoto mdogo Feisaaaaaal anatoka na mpira toka katikati ya uwanja na kwenda kumsalimia Kakolanya bila bugudha yoyote!
Nabi yule tuliyembugiza mabao 3 na el mereikh yake ya sudan?
 
Timu haiwezi kuendeshwa kwa kutegemea maamuzi ya MTU mmoja hayo ndiyo yametufikisha hapa, kila kiti mpaka mumusubiri moja.
Kunatakiwa kuwe na project ya muda mrefu na mfupi, kusajili wachezaji wazuri in ili tuweze kufika mbali kimataifa ila kuchukua kombe in lazima tuandae timu kama asec mimosa wanavyoandaa timu yao.
Time inatakiwa kujijenga kiuchumi kama Luna biluoni 20 kwanini tunashindwa kukopa benki na kujenga uwanja mkubwa ambao yukiuza haki za matangazo ya uwanja na kuuza tiketi za msimu tuna uwezo was kulipa deni muda mfupi, jengo la simba limekaa sehemu nzuri libomolewe na kujengwa jengo kubwa la kisasa na kuwa kitega uchumi.
Viongozi was kuchaguliwa na kuteuliwa wa bodies wawe watu wanaojua Moira sio watu wameshindwa ubunge wanakuja kujificha kwenye mpira
Klabu ya Chelsea ambao ni mabingwa wa dunia kwa ngazi ya klabu licha ya kuwa na pesa nyingi na makampuni bado ilikuwa ikifika kipindi cha usajili tajiri wa kirusi na mmiliki wa klabu aliyedhulumiwa kimagumashi na waingereza alikuwa akitoa pesa zake mfukoni kusajili wachezaji na hata wakati mwingine kutimua makocha na kuleta makocha wapya ili malengo yake yatimie na kweli ndani ya miaka 20 ya uwekezaji wake pale west london ndoto yake ilitimia kwani chelsea ilibeba kila kombe ililoshiriki hapa ulimwenguni.

Sioni ajabu kwa tajiri MO kutoa pesa zake kufanya usajili wa makocha na wachezaji. Mashabiki tunahitaji furaha ya ushindi na makombe tu.
 
MO uwezo wake ni wachezaji wasio zidi Dola 50,000/= Kwaiyo mtaendelea kuumia.
GSM ni mganga njaa zaidi kuliko unavyofikiria. Kama RS Berkane walikuja na ml 150 akamuuza kisinda , unategeme huyo mtu anunue mchezaji wa zaidi ya ml150? Zaidi ni kubadilishana na hakina chiko ushindi kwa mkoko na wengine kwa mkopo .
 
Huyu Kassim Dewji anataka kulazimisha kuleta ugomvi Simba, ajue hayo mambo yalishapita hii ni Simba SC mpya.
 
Nabi yule tuliyembugiza mabao 3 na el mereikh yake ya sudan?
Duh unakariri vibaya we jamaa! Maisha ya binadamu hubadilika! Huyu si Nabi mliemfunga , huyu ni Nabi mwingine ndo maana amewatoa kamasi na kuwapasua na kachukua ubingwa bila kupoteza mechi! huku Yanga kapata upendo na sapoti na kuwa moto fire!! huyu mtamuamkua shikamoo kwa 10 years!

yaani boss kuniona natembea kwa miguu leo unakariri itakuwa hivyo miaka kumi kwani mi ni baboon au simba niko porini nasubiri tu magari ya watalii waje wanipige picha? sasa what is the function of my brain?

Nabi atawapasua Msimbazi for ten years muombe sana Kaze asitimke maana Kaze ndo nguzo kubwa Yanga na ni fundi wa kufundisha kukaba na kulinda na Nabi yeye anachotaka Yanga yenye kasi na mashambulizi ya mfululizo kama Russia Onyango hupumziki mpaka anaanguka kama gunia la mchanga!
 
Kwahiyo unanikataza kuwa nisikariri maisha kuwa hutatembea kwa miguu milele halafu hapohapo unakariri kuwa simba itafanya vibaya for 10 years!! Are you sane?
 
Kwahiyo unanikataza kuwa nisikariri maisha kuwa hutatembea kwa miguu milele halafu hapohapo unakariri kuwa simba itafanya vibaya for 10 years!! Are you sane?
what would you prefer to choose between sanity and insanity when it comes to the discussion about Simba and Yanga performances this season?

Don't you see clearly that Simba fans and management are insane now with no idea of what to do to rectify the failed missions of lifting the trophy and beating the rival Yanga utopolo?

mmeishia kumtoa kafara Pablo!😆😆😆

hii ya Yanga kuipasua Simba kwa miaka kumi ya Nabi Jangwani unaruhusiwa kukariri kama ile ukiulizwa baba wa taifa ni nani? kwa tafsiri ya bush huwa ni Rais alie madarakani ila wewe ni wa mjini usiseme Bimkubwa Samia bali sema Nyerere!
 
Duh unakariri vibaya we jamaa! Maisha ya binadamu hubadilika! Huyu si Nabi mliemfunga , huyu ni Nabi mwingine ndo maana amewatoa kamasi! huku Yanga kupata sapoti na kuwa moto

what would you prefer to choose between sanity and insanity when it comes to the discussion about Simba and Yanga performances this season?

Don't you see clearly that Simba fans and management are insane now with no idea of what to do to rectify the failed missions of lifting the trophy and beating the rival Yanga utopolo?

mmeishia kumtoa kafara Pablo!
Malengo yetu si kumfunga yanga, for 2 seasons tulikuwa champions bila ya kuwafunga kwenye ligi na hukusikia kocha anatimuliwa kwa ajili hiyo.

Malengo ya simba yapo kimataifa zaidi huku kwenye ligi za kurogana tulishapita!! Kwahiyo usikariri kwa kuwa season hii hatukuwa mabingwa ndio useme tutapoteza misimu kumi. Hiyo haitakaa itokee, usikariri maisha bro.
 
aisee umesema kweli Yanga hatutakiwi kukariri kuwa tutakuwa bora for ten years
 
Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' amezungumza na Azam Tv kwamba, rais wa heshima wa timu hiyo Mohammed Dewji 'MO' anarudi kusajili.

Try Again amesema kuwa tayari wamefanya kikao na rais wa heshima wa Simba SC, Mohammed Dewji'MO' watasajili kwa kishindo ili msimu ujao wafanye maajabu.

"Tumeshindwa kufanya vizuri msimu huu hilo halitutoi mchezoni, tumekutana kama viongozi kwa lengo la kusawazisha makosa yetu hilo limefanyika kwa usahihi".

"Tutasajili wachezaji ambao wana njaa ya mafanikio, tutabaki na wachezaji kadhaa, kuna wengine mikataba yao imekwisha, na wengine kutokana na viwango vyao tutawaaga, lakini nawapongeza wachezaji wetu wamepambana kweli kweli".

"Na kwa sasa tunafanya mchakato wa kupitia CV ya makocha waliotuma maombi na baada ya kumpata atakayekuwa sahihi kabla ya msimu huu haujaisha atapewa nafasi ya kutoa mapendekezo ya usajili na tutaanza bila kuchelewa ili tuendane na mbio za maandalizi mazuri ya mwanzo wa msimu 'Pre Season".
amesema Try Again

Wakati huo huo Try Again alitaja sababu zilizomuondoa Kocha Pablo Franco Martin kuwa ni kushindwa kufikia malengo ya klabu, kutwaa taji la Ligi Kuu, Kombe la Azam Sports Federation Cup, Klabu Bingwa Afrika hatua ya Nusu Fainali, ambayo yalikuwa kama sehemu ya makubaliano ndani ya mkataba.
Sasa yanatokea mamtu kutoka utopoloni kusikojulikana yanajifanya machambuzi yanalaumu uongozi kwanini umemwacha kocha pablo,kama mkataba waliuona [emoji16][emoji16]ushaambiwa AMEACHWA KUTOKANA NA MAKUBALIANO YA KIMKATABA

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom