Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe makocha wanaokuja bongo wagangaa njaa...kocha wa ukweli ukimtaka anakuja na asistant wake fitness coach wake na match analyst wake. Haya alifanya mosimane alivyoenda kwa waarabu huko.Duh, ni Timu yote sasa..! Ila kwa Matola haiwezekani kuendelea kubakia hapo Simba, na njia ya kumuondoa ni Kocha mpya kuja kuchagua msaidizi wake mwenyewe..!
Banda na Kanoute waendelee, bado wana nafasi ya kuonyesha uwezo wao
Halafu mbona Gadiel na Dilunga hawapo?
Hats Lechante alikuja na timu take Uchebe alikataa kuletewa wasaidizi na Sikh alipokubali hakuchukua roundWewe makocha wanaokuja bongo wagangaa njaa...kocha wa ukweli ukimtaka anakuja na asistant wake fitness coach wake na match analyst wake. Haya alifanya mosimane alivyoenda kwa waarabu huko.
Wazungu wanaokuja bongo njaaa tuu hawawezi dictate terms.
Ndio hivyo bwana watu wanaenda na watu wao, unajua kabisa hawa hawataleta mizengwe.Hats Lechante alikuja na timu take Uchebe alikataa kuletewa wasaidizi na Sikh alipokubali hakuchukua round
Na kile mlicho kifanya pale uwanja wa Orlando au mlikuwa mnaota moto mpaka CAF wakawapiga faini. Mmelizalilisha taifa mnapiga tunguri waziwazi kabisa tena katikati ya uwanja.Malengo yetu si kumfunga yanga, for 2 seasons tulikuwa champions bila ya kuwafunga kwenye ligi na hukusikia kocha anatimuliwa kwa ajili hiyo.
Malengo ya simba yapo kimataifa zaidi huku kwenye ligi za kurogana tulishapita!! Kwahiyo usikariri kwa kuwa season hii hatukuwa mabingwa ndio useme tutapoteza misimu kumi. Hiyo haitakaa itokee, usikariri maisha bro.
hii si tumu nzimaKama kweli tunataka kuvuka pale tunapoishia yaani robo fainali na kwenda mbele nusu au fainali ya michuano ya CAF, bila shaka wachezaji hawa pamoja na Kocha msaidizi Matola tungewaaga, kwa kuwashukuru.
Mhilu (mkopo)
Jimmyson (mkopo)
Gadiel
Nyoni
Dilunga
Mzamiru
Mugalu
Kagere
Wawa
Lwanga
Bwalya
Morrison
vichekesho kama hivi unabonyeza *mugalu*kagere# OKAYSimba ya msimu ujao kama sio nusu fainali basi fainali yenyewe
Maneno haya yataishi kwa muda mrefu hadi pale ufumbuzi utakapopatikana..Haya yanayotokea sasa tulishasema kwa kushauri hapo awali lakini mwenyewe wanajua nini wamefanya kwenye Usajili.Hapo hakuna kuangalia huruma au tulipotoka mkuu Wafujo, kwani kuna wengi tu wameiletea mafanikio Klabu na muda wao umepita.
Kama tunataka kuvuka pale tunapoishia yaani robo fainali ya CAF
Yamkini lazima tuwe na Wachezaji wajuzi zaidi kuliko hawa.