Mwenyekiti wa Bodi: Simba tumejipanga kusajili wachezaji wenye njaa ya mafanikio

MO uwezo wake ni wachezaji wasio zidi Dola 50,000/= Kwaiyo mtaendelea kuumia.
 
Hapo hakuna kuangalia huruma au tulipotoka mkuu Wafujo, kwani kuna wengi tu wameiletea mafanikio Klabu na muda wao umepita.

Kama tunataka kuvuka pale tunapoishia yaani robo fainali ya CAF

Yamkini lazima tuwe na Wachezaji wajuzi zaidi kuliko hawa.
 
Wewe topolo uko vizuri. Mwakani tunakuja kivingine, jiandaeni kumtimua huyo Prof wenu..
 
Nabi yule tuliyembugiza mabao 3 na el mereikh yake ya sudan?
 
Klabu ya Chelsea ambao ni mabingwa wa dunia kwa ngazi ya klabu licha ya kuwa na pesa nyingi na makampuni bado ilikuwa ikifika kipindi cha usajili tajiri wa kirusi na mmiliki wa klabu aliyedhulumiwa kimagumashi na waingereza alikuwa akitoa pesa zake mfukoni kusajili wachezaji na hata wakati mwingine kutimua makocha na kuleta makocha wapya ili malengo yake yatimie na kweli ndani ya miaka 20 ya uwekezaji wake pale west london ndoto yake ilitimia kwani chelsea ilibeba kila kombe ililoshiriki hapa ulimwenguni.


Sioni ajabu kwa tajiri MO kutoa pesa zake kufanya usajili wa makocha na wachezaji. Mashabiki tunahitaji furaha ya ushindi na makombe tu.
 
MO uwezo wake ni wachezaji wasio zidi Dola 50,000/= Kwaiyo mtaendelea kuumia.
GSM ni mganga njaa zaidi kuliko unavyofikiria. Kama RS Berkane walikuja na ml 150 akamuuza kisinda , unategeme huyo mtu anunue mchezaji wa zaidi ya ml150? Zaidi ni kubadilishana na hakina chiko ushindi kwa mkoko na wengine kwa mkopo .
 
Huyu Kassim Dewji anataka kulazimisha kuleta ugomvi Simba, ajue hayo mambo yalishapita hii ni Simba SC mpya.
 
Nabi yule tuliyembugiza mabao 3 na el mereikh yake ya sudan?
Duh unakariri vibaya we jamaa! Maisha ya binadamu hubadilika! Huyu si Nabi mliemfunga , huyu ni Nabi mwingine ndo maana amewatoa kamasi na kuwapasua na kachukua ubingwa bila kupoteza mechi! huku Yanga kapata upendo na sapoti na kuwa moto fire!! huyu mtamuamkua shikamoo kwa 10 years!

yaani boss kuniona natembea kwa miguu leo unakariri itakuwa hivyo miaka kumi kwani mi ni baboon au simba niko porini nasubiri tu magari ya watalii waje wanipige picha? sasa what is the function of my brain?

Nabi atawapasua Msimbazi for ten years muombe sana Kaze asitimke maana Kaze ndo nguzo kubwa Yanga na ni fundi wa kufundisha kukaba na kulinda na Nabi yeye anachotaka Yanga yenye kasi na mashambulizi ya mfululizo kama Russia Onyango hupumziki mpaka anaanguka kama gunia la mchanga!
 
Kwahiyo unanikataza kuwa nisikariri maisha kuwa hutatembea kwa miguu milele halafu hapohapo unakariri kuwa simba itafanya vibaya for 10 years!! Are you sane?
 
Kwahiyo unanikataza kuwa nisikariri maisha kuwa hutatembea kwa miguu milele halafu hapohapo unakariri kuwa simba itafanya vibaya for 10 years!! Are you sane?
what would you prefer to choose between sanity and insanity when it comes to the discussion about Simba and Yanga performances this season?

Don't you see clearly that Simba fans and management are insane now with no idea of what to do to rectify the failed missions of lifting the trophy and beating the rival Yanga utopolo?

mmeishia kumtoa kafara Pablo!πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

hii ya Yanga kuipasua Simba kwa miaka kumi ya Nabi Jangwani unaruhusiwa kukariri kama ile ukiulizwa baba wa taifa ni nani? kwa tafsiri ya bush huwa ni Rais alie madarakani ila wewe ni wa mjini usiseme Bimkubwa Samia bali sema Nyerere!
 
Malengo yetu si kumfunga yanga, for 2 seasons tulikuwa champions bila ya kuwafunga kwenye ligi na hukusikia kocha anatimuliwa kwa ajili hiyo.

Malengo ya simba yapo kimataifa zaidi huku kwenye ligi za kurogana tulishapita!! Kwahiyo usikariri kwa kuwa season hii hatukuwa mabingwa ndio useme tutapoteza misimu kumi. Hiyo haitakaa itokee, usikariri maisha bro.
 
aisee umesema kweli Yanga hatutakiwi kukariri kuwa tutakuwa bora for ten years
 
Sasa yanatokea mamtu kutoka utopoloni kusikojulikana yanajifanya machambuzi yanalaumu uongozi kwanini umemwacha kocha pablo,kama mkataba waliuona [emoji16][emoji16]ushaambiwa AMEACHWA KUTOKANA NA MAKUBALIANO YA KIMKATABA

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…