Mwenyekiti wa Bodi: Simba tumejipanga kusajili wachezaji wenye njaa ya mafanikio

Huyu jamaa n mwanapropaganda mzur Sana mpira hauwez kuendelea kihivo
 
Wewe makocha wanaokuja bongo wagangaa njaa...kocha wa ukweli ukimtaka anakuja na asistant wake fitness coach wake na match analyst wake. Haya alifanya mosimane alivyoenda kwa waarabu huko.
Wazungu wanaokuja bongo njaaa tuu hawawezi dictate terms.
 
Hats Lechante alikuja na timu take Uchebe alikataa kuletewa wasaidizi na Sikh alipokubali hakuchukua round
 
Na kile mlicho kifanya pale uwanja wa Orlando au mlikuwa mnaota moto mpaka CAF wakawapiga faini. Mmelizalilisha taifa mnapiga tunguri waziwazi kabisa tena katikati ya uwanja.

Mmeunguza nyasi za watu na kuwatia hasara wenzenu ambao kila msimu wana bajeti ya kutengeneza pichi zao.
 
hii si tumu nzima
 
Hapo hakuna kuangalia huruma au tulipotoka mkuu Wafujo, kwani kuna wengi tu wameiletea mafanikio Klabu na muda wao umepita.

Kama tunataka kuvuka pale tunapoishia yaani robo fainali ya CAF

Yamkini lazima tuwe na Wachezaji wajuzi zaidi kuliko hawa.
Maneno haya yataishi kwa muda mrefu hadi pale ufumbuzi utakapopatikana..Haya yanayotokea sasa tulishasema kwa kushauri hapo awali lakini mwenyewe wanajua nini wamefanya kwenye Usajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…