Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
Toka kipande hiki cha ardhi kunachoitwa Tanzania kiumbwe, hakijawahi kupatwa ma janga kubwa kama hili la kuongoza na rais kama huyu! Huu ni mkosi mkubwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka kipande hiki cha ardhi kunachoitwa Tanzania kiumbwe, hakijawahi kupatwa ma janga kubwa kama hili la kuongoza na rais kama huyu! Huu ni mkosi mkubwa!
Akwilina, Ben Sanane, Lissu na risasi zake 38, wabambikiwa mi kesi, n.k ni baadhi tu ya "wapiga dili" walioshughulikiwa...Nchi ipo tulivu mambo yanaendelea vyema, Alhamdulillah
Mola azidi kumpa Afya njema Rais wetu na amuepushie Husda za wapiga dili
Hivi hamna nwingine aliyechukua form ccm?
Hao ni asilimia ngapi ya watanzania milioni 57??Akwilina, Ben Sanane, Lissu na risasi zake 38, wabambikiwa mi kesi, n.k ni baadhi tu ya "wapiga dili" walioshughulikiwa...
Huyu mshamba ni mkosi, laana na nuksi kubwa kwa taifa
Muachege ujinga, kwa hiyo kuua asilimia moja ya watanzania sio kitu kibaya! Eeh? Wachache sanaa....Hao ni asilimia ngapi ya watanzania milioni 57??
Tafuteni wimbo mwingine huu umetuchosha sana kila siku risasi 38, hii sio sera ya uchaguzi. Na huyu shoga pia sio dili [emoji116]View attachment 1482051View attachment 1482052
Kama chadema walitoa fomu moja tu kwa mtu waliyemwita fisadi Hapo 2015, je nao hawautaki mfumo wa vyama vingi? Wakati CCM walitoa fomu kwa wanachama 41.Chama kutoa fomu moja kwa mgombea urais ni dalili tosha kuwa chama hicho hakiutaki mfumo wa vyama vingi. Fomu iliyotolewa haina tija kwani inaleta swali ambalo si rahisi kujibika, chakujiuliza ni endapo mgombea huyo mmoja asipotimiza kigezo muhimu inamaana chama husika hakita shiriki uchaguzi wa rais kwani muda wa kuchukua na kuirejesha umekwishapita.
Tutegemee baada ya uchaguzi tutegemee mageuzi makubwa kwenye mfumo wa vyama vingi
We mtoe dikteta uchwaraChukua fomu tumtoe boss...
Hao wanaochukua forms kwa upinzani sio makini sana kama wewe...
You can be our best president mkuu
Ungejua maana ya kutumia neno endapo usingenijibu.Asipotimiza vigezo muhimu kiaje wakati ashakuwa Rais tayari.Mfikirie kutumia hicho kichwa cha juu basi.
Unao uhakika? CCM siyo kwamba wametoa ila mwaka juzi kama sijakosea muhusika aliamua kuwa nafasi ya urais itagombewa na mtu mmoja tu katika vipindi vyake ya miaka miwili, hii inamaana lazima akae kipindi viwili.Kama chadema walitoa fomu moja tu kwa mtu waliyemwita fisadi Hapo 2015, je nao hawautaki mfumo wa vyama vingi? Wakati CCM walitoa fomu kwa wanachama 41.
👆👆👆Ungejua maana ya kutumia neno endapo usingenijibu.
Kwani JK na Mkapa nani aliwapinga term ya pili?