Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Toka kipande hiki cha ardhi kunachoitwa Tanzania kiumbwe, hakijawahi kupatwa ma janga kubwa kama hili la kuongoza na rais kama huyu! Huu ni mkosi mkubwa!
 
Nchi ipo tulivu mambo yanaendelea vyema, Alhamdulillah

Mola azidi kumpa Afya njema Rais wetu na amuepushie Husda za wapiga dili
Toka kipande hiki cha ardhi kunachoitwa Tanzania kiumbwe, hakijawahi kupatwa ma janga kubwa kama hili la kuongoza na rais kama huyu! Huu ni mkosi mkubwa!
 
Hivi hamna nwingine aliyechukua form ccm?
 
Nchi ipo tulivu mambo yanaendelea vyema, Alhamdulillah

Mola azidi kumpa Afya njema Rais wetu na amuepushie Husda za wapiga dili
Akwilina, Ben Sanane, Lissu na risasi zake 38, wabambikiwa mi kesi, n.k ni baadhi tu ya "wapiga dili" walioshughulikiwa...

Huyu mshamba ni mkosi, laana na nuksi kubwa kwa taifa
 
Akwilina, Ben Sanane, Lissu na risasi zake 38, wabambikiwa mi kesi, n.k ni baadhi tu ya "wapiga dili" walioshughulikiwa...

Huyu mshamba ni mkosi, laana na nuksi kubwa kwa taifa
Hao ni asilimia ngapi ya watanzania milioni 57??

Tafuteni wimbo mwingine huu umetuchosha sana kila siku risasi 38, hii sio sera ya uchaguzi. Na huyu shoga pia sio dili [emoji116]
 
Hao ni asilimia ngapi ya watanzania milioni 57??

Tafuteni wimbo mwingine huu umetuchosha sana kila siku risasi 38, hii sio sera ya uchaguzi. Na huyu shoga pia sio dili [emoji116]View attachment 1482051View attachment 1482052
Muachege ujinga, kwa hiyo kuua asilimia moja ya watanzania sio kitu kibaya! Eeh? Wachache sanaa....

Huyo Idd Amin wenu damu za watu wasiohatia zitamlilia daima!
 
Kama chadema walitoa fomu moja tu kwa mtu waliyemwita fisadi Hapo 2015, je nao hawautaki mfumo wa vyama vingi? Wakati CCM walitoa fomu kwa wanachama 41.
 
Naunga mkono kubadilishwa katiba Rais Magufuri aongoze miaka mingi zaidi....

Wale mnaomchukia ni Ruska ila jilindeni na shinikizo la damu labda chuki zenu ziwe na hoja.
 
Kama chadema walitoa fomu moja tu kwa mtu waliyemwita fisadi Hapo 2015, je nao hawautaki mfumo wa vyama vingi? Wakati CCM walitoa fomu kwa wanachama 41.
Unao uhakika? CCM siyo kwamba wametoa ila mwaka juzi kama sijakosea muhusika aliamua kuwa nafasi ya urais itagombewa na mtu mmoja tu katika vipindi vyake ya miaka miwili, hii inamaana lazima akae kipindi viwili.
 
Kwani tangazo la CCM kuna mahala limesema kuna fomu 1 tu ya mtiania ya urais? Nafikiri kama hauku elewa tangazo ni vema ukae kimya au uliza wenzako. Watu wengine wa ccm kutokwenda chukua fomu hakumfanyi Magufuli asiende kuchukua fomu kama nafsi yake ilivyomtuma.

Tuna tabia mbaya sana ya kugeuza geuza maneno au uhalisia wa mambo na hii sijui huwa ni kwa faida ya nani sijui.
 
Kwani wengine wamezuiwa kuchukua fomu za urais, kama ni hivyo basi kuna shida mahali...
 
Baada ya Rais Magufuli jana kuchukua fomu za kugombea Urahisi mwaka 2020, imeonekana hakuna kabisa Demokrasia ndani ya CCM Bara.
Tumeona CCM Visiwani tayari watu 5 wameshachukua Fomu kwa ajili ya kuwania Urahisi wa Zanzibar.......lakini Bara Magufuli anafanya umwamba wa kuchukua fomu peke yake!! Wapi Demokrasia anayoitangaza Magufuli Kama Rais na Mwenyekiti-CCM(T)?
Lazima Magufuli aheshimu Katiba ya CCM na ya JMT. Sasa anatakiwa aruhusu wagombea wengine wachukue fomu kwa Urais wa JMT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…