Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We unaishi wapi? Ccm huu ni utaratibu wao kwa zaidi ya miaka 36.Sasa kwao ni kama sheria maana imeshakuwa customary law. Wewe hangaika na Chadema iliyokufa ambayo haina muelekeo.
Si ndiyo maana aliufuta uchaguzi 2015 . Hao ndiyo wenyeviti wa Tume za uchaguziMi bado sijamuelewa Jecha [emoji23][emoji23][emoji23]
Alihaidiwa kuwa atapewa urais 2020 au View attachment 1484493
Huyu mzee namkubali sanaMi bado sijamuelewa Jecha [emoji23][emoji23][emoji23]
Alihaidiwa kuwa atapewa urais 2020 au View attachment 1484493
Thread closedUkichukua hiyo fomu ni Sawa na kujisumbua tu maana Magufuli kazi yake inaonekana ko hautaungwa mkono na yeyote
Mchukulie form mama yako ashindane naeMpaka leo hakuna aliyejitokeza kuchukua fomu ,Ina wagombea wote 42 wa mwaka 2015 hawautaki tena urais,Bulembo anasema rais lazima amalize vipindi viwili ,katiba kipengere kipi ,ibara ipi? Kama lazima amalize mihura miwili swali kwanini amechukua fomu ashindane na nani?
Mpaka leo hakuna aliyejitokeza kuchukua fomu ,Ina wagombea wote 42 wa mwaka 2015 hawautaki tena urais,Bulembo anasema rais lazima amalize vipindi viwili ,katiba kipengere kipi ,ibara ipi? Kama lazima amalize mihura miwili swali kwanini amechukua fomu ashindane na nani?
Kama kawaida yako! Bia yetuWanaccm wameridhishwa na kazi yake
Wanampa tano tena
Na huwa inaduwaza haswaaNaamini kabisa iwapo kungekuwa na mchakato huru wa kumpata mgombea ndani ya chama, Rais Magufuli angeduwazwa na matokeo ya kura ya maoni kutoka kwa Wana Ccm wenzake.
Anatambua fika anakiendesha chama kibabe na kuna wanachama wengi tu wasio mkubali. Achilia mbali hii misukule michache na mibendera fuata upepo ya humu Jamii Forums.
Ajabu sana ila Zenji wamechukua wengi hadi JechaMpaka leo hakuna aliyejitokeza kuchukua fomu ,Ina wagombea wote 42 wa mwaka 2015 hawautaki tena urais,Bulembo anasema rais lazima amalize vipindi viwili ,katiba kipengere kipi ,ibara ipi? Kama lazima amalize mihura miwili swali kwanini amechukua fomu ashindane na nani?