Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Matumizi mabaya ya-:

Raslimali fedha

Watu

Muda

Mali

Mtu upo peke yako .... unatafuta nini mikowani? Ili iweje?
 
We unaishi wapi? Ccm huu ni utaratibu wao kwa zaidi ya miaka 36.Sasa kwao ni kama sheria maana imeshakuwa customary law. Wewe hangaika na Chadema iliyokufa ambayo haina muelekeo.


Kwenye katiba ya ccm hakuna hicho kitu

Lete kifungu hapa utuoneshe
 
Demokrasia ni jambi ambalo ni ghali sana ndani ya chama tawala, hasa pale linapotokea suala la kumshindanisha Mwenyekiti Taifa na watia nia wengine. Huyu kwao ni mungu- mtu mwenye kupaswa kupewa sifa na utukufu pasipo kujali mapungufu yake.
 
Mi bado sijamuelewa Jecha [emoji23][emoji23][emoji23]
Alihaidiwa kuwa atapewa urais 2020 au
 
Naamini kabisa iwapo kungekuwa na mchakato huru wa kumpata mgombea ndani ya chama, Rais Magufuli angeduwazwa na matokeo ya kura ya maoni kutoka kwa Wana Ccm wenzake.

Anatambua fika anakiendesha chama kibabe na kuna wanachama wengi tu wasio mkubali. Achilia mbali hii misukule michache na mibendera fuata upepo ya humu Jamii Forums.
 
Mchukulie form mama yako ashindane nae
 
Na anazunguka kutafuta wadhamini wa nini kama yuko mwenyewe?
 
Kuna mahali nilihusika kupigiwa kura.
Nilikuwa naamini nakubalika 100%.
Na nilimdharau sana Mpinzani wangu kwani nilijua hakubaliki.

Ebwana siku ya uchaguzi.
Yule jamaa nilimshinda kwa kura 80 tu!! Kati ya kura 398 za wapiga kura wote.
Niliona aibu sana kumbe kuna watu wengi wasionikubali.

So ishu ikishakuwa ni uchaguzi kuna mengi.
Magu kuprint form 1 anaelewa sana.
 
Na huwa inaduwaza haswaa
 
Membe akigombea kupitia CDM itasaidia sana ku boost na kuongeza wanachama na wapiga kura wengi kama mafuriko ya Mamvi.

Wahusika tafakarini na kuchukua hatua
 
Ajabu sana ila Zenji wamechukua wengi hadi Jecha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…