Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kama munavowatumie polis na tume ya uchaguziCCM ina utamaduni wake!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si alikuwa anasema hiyo kazi inachosha na ni nzito mbona ndo wa kwanza kuchukua fomu kwenye chama chake
Mzigo mpya umeshuka Na fly emirates
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulishasema mwanasiasa si mtu wa kumwamini maneno yake.
Yes nimemuona live kupitia TBC rais Magufuli akichukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma.
Maendeleo hayana vyama!
Kote tu! Kwani waliochukua ya uenyekiti wa CHADEMA waliishia wapi?Kwa lumumba ni jinai mtu mwingine kuchukua fomu zaidi ya yeesuuu
Nimeona kuna visu vya maana hapo ,vinafaa kwa matumizi.picha hiyo
Nani kazuiwa?Kuna umuhimu gani wa yeye kuchukua fomu wakati mmewazuia wengine kuchukua
Raisi amechukua fomu ya kugombea Uraisi?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Magufuli amechukua fomu ya kugombea Urais leo asubuhi
Fomu amekabidhiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Ali Bashiru Jijini Dodoma.