Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

..................Hii siyo habari ingekuwa habari kama asingechukua na nikupotezeana muda na fedha tu mshindi anajulikana wangeapishana tukaendelea kufanya mambo mengine.
 
Jiwe si alikuwa analalamika kazi ya urais ni ngumu sasa kinachomfanya achukue tena fomu ni nini!!!! Huu ulikuwa wakati wake wa kuachana na masuala ya siasa arudi kwao chato akale nyama ya tausi si anawasifia wana nyama tamu na kawafuga wa kutosha
 
Si alikuwa anasema hiyo kazi inachosha na ni nzito mbona ndo wa kwanza kuchukua fomu kwenye chama chake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulishasema mwanasiasa si mtu wa kumwamini maneno yake.
 
Membe hajatoa ratiba kuwa anaenda kuchukua form saa ngp huko ccm??
 
Yes nimemuona live kupitia TBC rais Magufuli akichukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM.

Kule tuu kuonyeshea live kupitia TBC ni kitu kizuri kwa kuonyeshea transparency ya zoezi hili zima, na kwa vile TBC ni public broadcasting station yaani TV ya umma, imetimiza wajibu wake kikamilifu kututangazia live, na natoa wito kwa vyama vyote vya siasa vitakavyo simamisha wagombea urais, kutoa ushirikiano kwa TBC ili TBC iwatangazie live Watanzania wagombea wao na kuwapa fursa Watanzania kuwaona wagombea wote wakipewa haki sawa kwenye vyombo vya habari vya umma.

Pili nimemnote rais Magufuli akitumia usafiri wa gari lenye number binafsi. This is very good thing kwasababu rais Magufuli ametenganisha shughuli za chama na shughuli za serikali. Rais Magufuli hakutumia gari za serikali, wala hakutembea na msafara ikiwemo battalion, rais Magufuli ametumia gari moja tuu yenye number za kiraia,
Hatua hii ni hatua yenye essence kubwa sana kwenye mustakabali wa usawa wa kidemokrasia na usawa wa uwanja wa mapambano kujenga uwanja sawa, the level playing field, hivyo ni hatua muhimu kuifuta ile dhana ya kugombea urais Tanzania kufananishwa na kugombea kisu cha makali kuwili huku mgombea mmoja ameshika mpini na kuwashikisha wapinzani wake upande wa makali kuwili
P
 
Kwa lumumba ni jinai mtu mwingine kuchukua fomu zaidi ya yeesuuu
Kote tu! Kwani waliochukua ya uenyekiti wa CHADEMA waliishia wapi?
NI siasa za kizembe tu kila kona.
 
Yaani ukisikia complex equation ndo hii.
Your browser is not able to display this video.
 
Sasa mimi naona alikuwa anatuona sisi mazoba ?Kutudanganya alivyotudanganya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…