Mwenyekiti wa CCM hataki kura za "MASHETANI"?!

Mwenyekiti wa CCM hataki kura za "MASHETANI"?!

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,459
Reaction score
100,799
Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.

Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.

Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?

Tujifunze kuvumiliana
IMG-20250605-WA0045.jpg
 
Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.

Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.

Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?

Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
Watekaji na wafiraji ndio watumishi wa mungu wake
 

Matayo 7:15-29

Neno: Bibilia Takatifu

​

Manabii Wa Uongo​

15 “Jihadharini na manabii wa uongo wanaowajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali.16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je, unaweza kuchuma zabibu kwenye miiba au tini kwenye michongoma? 17 Vivyo hivyo mti mzuri huzaa matunda mazuri na mti mbaya huzaa matunda mabaya. 18 Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya na mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri.19 Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa katwa na kutupwa motoni. 20 Hivyo, mtawatambua kwa matunda yao.”

Mfuasi Wa Kweli​

21 “Si kila mtu anayesema, ‘Bwana, Bwana,’ ambaye ataingia katika Ufalme wa mbinguni ila ni wale wanaofanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. 22 Siku ile itakapofika wengi wata niambia, ‘Bwana, Bwana, hatukutoa unabii na kufukuza pepo kwa jina lako; na kufanya miujiza mingi ya ajabu kwa jina lako?’ 23 Ndipo nitawaambia wazi, ‘Sikuwafahamu kamwe. Ondokeni kwangu ninyi watenda maovu!’

Nyumba Iliyojengwa Kwenye Mwamba​

24 “Basi, kila anayesikiliza haya maneno yangu na kuyate keleza, atafanana na mtu mwenye busara aliyejenga nyumba yake kwenye mwamba. 25 Mvua ikanyesha, mafuriko yakaja na upepo uka vuma ukaipiga nyumba hiyo, lakini haikuanguka kwa sababu ili jengwa kwenye msingi imara juu ya mwamba. 26 Na kila anayesikia haya maneno yangu asiyafuate, atafanana na mtu mjinga aliyejenga nyumba yake kwenye mchanga.27 Mvua ikanyesha, yakatokea mafu riko, na upepo ukavuma ukaipiga hiyo nyumba, nayo ikaanguka kwa kishindo kikubwa.” 28 Na Yesu alipomaliza kusema maneno haya, umati wa watu waliomsikiliza walishangaa sana,29 kwa sababu alifundisha kama mtu mwenye mamlaka, na si kama walimu wao wa sheria.
 
 
Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.

Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.

Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?

Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
Sisi tumeshamjua anayeteka na kuua Watanganyika huyo ndiye shetani na mikono yake imejaa damu na mwisho wake utakuwa mchungu sana.
 
Ila kuna ntu kweli kabisa kapanic
Mkuu mbona kauli yake ina ukweli Makanisa ya kilokole ni wezi wao wanataka kupokea tu na siyo kutoa kwa jamii, yani ata kujenga shule au hospitali ni ngumu na Akaunti ya Kanisa na Mali zote za Kanisa zina majina yao kiongozi, Askofu Kakobe, Mzee wa upako, Mchungaji Lusekelo, Mwakasege, Mwingira na Wengineo. Seeikali inatakiwa iTunes sheria kali kwa Mtu yoyote ukianzisha Kanisa au dhehebu lazima Mali na Akauti za Benki zisiwe na Majina ya Mtu.
 
Back
Top Bottom