Killing machine
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 2,396
- 3,444
Hapo mwenye kiti kaongea Kama mama sio mwenyekiti tumsameheni
Huyu siyo raisi. Ni muimba taarabuHahaa asa hapo nani shetani jaman mbona wanatuchanganya na vijembe vyao kila siku.
Lakini unajuà kwamba hao viongozi wa siasa nao husali kwenye hayo makanisa?Mkuu mbona kauli yake ina ukweli Makanisa ya kilokole ni wezi wao wanataka kupokea tu na siyo kutoa kwa jamii, yani ata kujenga shule au hospitali ni ngumu na Akaunti ya Kanisa na Mali zote za Kanisa zina majina yao kiongozi, Askofu Kakobe, Mzee wa upako, Mchungaji Lusekelo, Mwakasege, Mwingira na Wengineo. Seeikali inatakiwa iTunes sheria kali kwa Mtu yoyote ukianzisha Kanisa au dhehebu lazima Mali na Akauti za Benki zisiwe na Majina ya Mtu.
Wewe ni dini gani? Mbona umeshupalia wakristo sana,?Yes,
wapo maaskofu, mitume na manabii wa uongo humu nchini, Lakini pia wapo maaskofu wazinifu mpaka kufikia hatua ya kurikodi anavyonyandua waamini wake na kuwaambukiza ukimwi kwa makusudi.
Je, askofu kama huyo sio jasusi wa shetani kweli gentleman?🐒
hiyo sio muhimu na haina maana sana gentleman,Wewe ni dini gani? Mbona umeshupalia wakristo sana,?
KKKT njaa kali na upigaji mwingi.Wamekaba waumini hela ya kujenga hicho kituo hawajatoa mrejesho zimechangwa ngapi,mara wamekimbiza kibaba kwa serikali,TUWAELEWEJE.??Hivi hii si ndio wanaita majungu unaweza kualikwa KKKT ukawanga RC au CCT au CPTC kesho ukienda RC utawananga KKKT hii haiko sawa.Naamini viongozi wa KKKT hawakufurahishwa ila kwa vile wamewaalika watatulia tu.Viongozi wetu wapunguze resentments
Huyo hana akiliWewe ni dini gani? Mbona umeshupalia wakristo sana,?
Wakikupa ujauzito niite nikusaidie kulea huo uzao bila malipo yoyote .hiyo sio muhimu na haina maana sana gentleman,
but Kwa msaada wa Neema na Baraka za Mungu nipo jukwaani kueleza ukweli mtupu dhidi ya manabii, mitume na maaskofu wazinifu na walevi humu nchini gentleman 🐒
Mzee wa msoga anaenjoy tu, yake yanaenda.Waliomvhaguwa kuwa makamu, WANAJUTA!
Kuna tofauti hapo zipoNimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
uMungu aliye mkuu huwa hadhihakiwi kamwe....(Do not blaspheme the immortal superpower, you shall be devoured by his irreversible wrath at the right time that you won't forecast to repent)
Wote pamoja na mapadriwe unadhani hata kina malasusa ni watumishi wa Mungu kwa mtazamo huohuo?