Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 1,136
- 1,118
Madam kavurugwaIla kuna ntu kweli kabisa kapanic

Hao ndio ibilisiMashetani ni wale wanywa damu za watz
Aisee ni balaa mana kama hata mtu wa kawaida ata asie taka kufikiri kuhusu hizi ishu anapata ka ujumbe fulani.Madam kavurugwa
Hii ni parody accountSawaaaaa hakuna shida View attachment 3357091
Kama wewe ni shetani na unajijua ni shetani, usimpigie kura. Sisi wapiga kura wake tupo.Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
Tatzo lako unaropoka na hujui unachosema unadhan ukipewa hizo elfu 35 za kuweka vocha na kucoment ujinga ,,mwakasege kanisa lake linaitwaje na lipo wap? Una Hakka ana kanisa lake la kilokole?Mkuu mbona kauli yake ina ukweli Makanisa ya kilokole ni wezi wao wanataka kupokea tu na siyo kutoa kwa jamii, yani ata kujenga shule au hospitali ni ngumu na Akaunti ya Kanisa na Mali zote za Kanisa zina majina yao kiongozi, Askofu Kakobe, Mzee wa upako, Mchungaji Lusekelo, Mwakasege, Mwingira na Wengineo. Seeikali inatakiwa iTunes sheria kali kwa Mtu yoyote ukianzisha Kanisa au dhehebu lazima Mali na Akauti za Benki zisiwe na Majina ya Mtu.
sawa ndugu yake shetaniKama wewe ni shetani na unajijua ni shetani, usimpigie kura. Sisi wapiga kura wake tupo.
Lini CCM ilipata ushindi kwa kura?Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
sikumbuki ndugu yangu hata siku mojaLini CCM ilipata ushindi kwa kura?
Watu wa saikolojia mchunguze kna sehemu hapajakaa sawa . Sjui umri au gender.Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
Artificial intelligenceSawaaaaa hakuna shida View attachment 3357091
Hivi hii si ndio wanaita majungu unaweza kualikwa KKKT ukawanga RC au CCT au CPTC kesho ukienda RC utawananga KKKT hii haiko sawa.Naamini viongozi wa KKKT hawakufurahishwa ila kwa vile wamewaalika watatulia tu.Viongozi wetu wapunguze resentmentsNimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
Hata mimi sizitakiNimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
Samia hategemei kura.Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
Hapa kakosea kabisaaaaa! Maana kanisa la gwajima ni wakristo wale na maana yake wakristo pia ni mashetani. Maana hata kiongozi wa kanisa KATOLIKI Padre kitima alivamiwa Kwa lengo la kuuwawa hivyo naye ni shetani na waumini wake.Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
Hao hawawezi kukuelewa Kuna watu anawakumbatia nafikiri wale ndo wabaya ngoja akistaafu akawa nje ndo atakubaliWe ndiyo wale "Mama unaupiga mwingi " huna baya ,unakubalika kwa wananchi " kumbe ni HOVYO KABISAAA
Shetani katika ubora wake. Lkn kkkt hamtoshewi na sadaka zenuNimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.