Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Kwahiyo Gwajima na wafuasi wake ni mashetani?
Samia Hana adui yeyote, tuache unafiki na ubabaifuRais wangu Samia .kwanini usikae kimya ? Vijembe na marushiano ya maneno yako yanaleta taswira mbaya sana ...kumbuka wewe ni kiongozi wa nchi ...ebu kuwa na uvumilivu wa maneno bhasiiii !!! Kumbuka kila unachoongea kinaleta taswiswi ...kwanini usikae kimya ? Hiv unajua kwamba ukimya ni dawa ya maadui zako ? HIVI UNAWAJUA MAADUI ZAKO ?
Kwa kuambiwa ukweli kuwa kuna kikundi cha WatekajiKigezo kipi katumia kujua hilo la ushetani
Yupo sahihi,Mama kasema ukweli hakuna kupambwa pambwa watumishi wengi ni wa michongoNimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
Za maruhani hahahaha Nape alisema aina za kuraVipi shetani anaweza kukataa kura za wenzake au anategemea za maruhani?
Amechoka Kutajwatajwa Na Waja Wa Ulimwengu......Anaomba Mumtue Sasa Na Yeye Apate Kupumzika Apambane Na Yanamuhusu Na Kumsibu Katika Maisha Yake Ya Kila leo.....Kwani shetani mwenyewe anasemaje?
Sawaaaaa hakuna shidaYupo sahihi,Mama kasema ukweli hakuna kupambwa pambwa watumishi wengi ni wa michongo
We ndiyo wale "Mama unaupiga mwingi " huna baya ,unakubalika kwa wananchi " kumbe ni HOVYO KABISAAASamia Hana adui yeyote, tuache unafiki na ubabaifu
Mie naona kama ameanda kudata.Nimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
Mpwa, HEBU angalia posts Zangu since nijiunge hapa 2008 Hadi Leo kama nilishawahi kuwa na vinasaba na CCMWe ndiyo wale "Mama unaupiga mwingi " huna baya ,unakubalika kwa wananchi " kumbe ni HOVYO KABISAAA
Hapana, anahitaji Tu MTU wa kumsimamia. She's the best naaminiMie naona kama ameanda kudata.
SawaNi maneno ya Mungu mkuu.
Acha tumuulize mungu atatupa jibu tu nani shetaniKwani shetani mwenyewe anasemaje?