Volodimiri Zelensiki
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 1,467
- 4,536
Kama lile li Quran lenye Aya za Shetani!! We msenqe kweliBibilia yenyewe ni ya uongo,Uongo Uongo tu.
Kama lile li Quran lenye Aya za Shetani!! We msenqe kweliBibilia yenyewe ni ya uongo,Uongo Uongo tu.
Utekaji na wizi wa bikini 15 walizokwapua Hazina kienyeji kwa kazi maalum ndiyo ushetani wenyewe, kuwatesa kuwabambikia kesi chadema ndiyo ushetani wenyewe kufunga kanisa kwa njia haramu ndiyo ushetani wenyeweHuyo Samia ndiyo wa kutuambia kwamba watumishi wanaojifanya watumishi wa Mungu lakini ni wa shetani, amewajuaje? Na hao wanaobaka na kulawiti anaowahifadhi na kuwataka wafanye hivyo, ni watumishi wa nani? Acha kuteka na kuua watanzania hasa watanganyika. Kama unaona huwezi kukosolewa ungeacha huo urais, kwani ulilazimishwa kuwa rais? Ondoka.
Anayeandaa uchaguzi na kuendesha uchaguzi na kujichagua mwenyewe ndiye shetani
Waliomvhaguwa kuwa makamu, WANAJUTA!Mh. Ana mipasho huyu isingekuwa siasa namuona kabis akwa kina mwanahawa ally, khadija omary kopa, isha mashauzi na wengineo 🤣
Anatia aibu!!!bi mkubwa kapanic
Kabisa!!! Rais hatakiwi kuwa wa hii caliber!!Mh. Ana mipasho huyu isingekuwa siasa namuona kabis akwa kina mwanahawa ally, khadija omary kopa, isha mashauzi na wengineo 🤣
utumishi wa ushetani,Kwahiyo Gwajima na wafuasi wake ni mashetani?
huo msaafu wako ndio wa kweli ibilisi we?Bibilia yenyewe ni ya uongo,Uongo Uongo tu.
ni wapuuzi ndio wanaiharibu nchi hiiNchi inajiharibia safari YAKE yenyewe Kwa kujiangamiza.
kuruhusu wenzao waitwe mashetani?KKKT kanisa langu leo wametoa boko
mamlaka? Unaijua mamlaka wewe?GwajiBoy kwisha habari yake...
Huwezi shindana na mamlaka
we unadhani hata kina malasusa ni watumishi wa Mungu kwa mtazamo huohuo?Yupo sahihi,Mama kasema ukweli hakuna kupambwa pambwa watumishi wengi ni wa michongo
Huyu Mama mpaka ikifika octaba tutaona mengiNimeshangazwa na kauli ya ajabu Sana na iliyojaa visasi, hasira na chuki kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM.
Kutamka kuwa "Wengine ni watumishi wa Shetani" huku tukijua fika anamlenga Nani ni kutowatendea haki.
Leo hiii Gwajima na wafuasi wake wakishikilia msimamo wao wa kuitwa shetani, au watumishi wa Shetani, hizo kura mtapata Wapi?
Tujifunze kuvumilianaView attachment 3356734
anakurupuka na kuandika asichokijuaTatzo lako unaropoka na hujui unachosema unadhan ukipewa hizo elfu 35 za kuweka vocha na kucoment ujinga ,,mwakasege kanisa lake linaitwaje na lipo wap? Una Hakka ana kanisa lake la kilokole?
mkiambiwa damu za watu ni mbaya muwe mnaelewa!Au kule Tanga walishasima Albadiri?
ina maana KKKT hawakusoma upepo wa kisiasa unavumaje wiki hii mpaka wamualike kuwa mgeni rasmi? je wakiambiwa wametumia event hiyo kukandia makanisa mengine ili wao waonekane wana Mungu na wengine wa shetani itaonekana vipi? maana kuna kunyang'anyana waumini kuhama hama madhebu kwa kuvutiwa na mafundisho yenye kuleta farajaHivi hii si ndio wanaita majungu unaweza kualikwa KKKT ukawanga RC au CCT au CPTC kesho ukienda RC utawananga KKKT hii haiko sawa.Naamini viongozi wa KKKT hawakufurahishwa ila kwa vile wamewaalika watatulia tu.Viongozi wetu wapunguze resentments