Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Nov 22, 2024 #1 Mwenyekiti wa CCM Mbeya amesema changamoto ya maji inaenda kuisha Jijini Mbeya ifikapo mwakani (2025), kutokana na kupelekwa kwa mradi wa zaidi ya TSh. bilioni 117. Ametoa kauli hiyo katika uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Pia, Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Your browser is not able to display this video.
Mwenyekiti wa CCM Mbeya amesema changamoto ya maji inaenda kuisha Jijini Mbeya ifikapo mwakani (2025), kutokana na kupelekwa kwa mradi wa zaidi ya TSh. bilioni 117. Ametoa kauli hiyo katika uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Pia, Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 Your browser is not able to display this video.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 22, 2024 #2 Rushwa ya Uchaguzi haikubaliki