Yuko safari kumwakilisha SAMIA mkutanoni Mashariki ya Kati huko.Basi nitakuwa nimemfananisha na huyo jamaa hapo kavalia barakhashia kama lake vile. Na Rais wa Nzanzibar je si mjumbe wa hiki kikao?
Ngoja mie nitizame jambo jingine kabisaaa , Naona sasa wameachana na maji ya kilimanjaro kwenye mambo ya kiserikali na sasa wanatumia maji ya Dewdrop🤪🤪 ingawa wamepambana kuyabandua stickers🤪🤪😂😂😂😂😂Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
View attachment 2630035View attachment 2630037View attachment 2630039
Nilitaka tu kukuuliza swali kuhusu hizo picha, lakini nikajikuta vidole vikigoma kuliandika hilo swali!Ni jambo jema
Nimekuelewa mkuu, 'polokwane'Ngoja mie nitizame jambo jingine kabisaaa , Naona sasa wameachana na maji ya kilimanjaro kwenye mambo ya kiserikali na sasa wanatumia maji ya Dewdrop🤪🤪 ingawa wamepambana kuyabandua stickers🤪🤪😂😂😂😂😂
Ni Sauti toka nyikani hizi haziwanyimi usingizi wenye chama chao wakati huu.Tunataka kuona matokeo chanya ya hivyo vikao kwenye maisha ya wakulima na watu wa hali ya chini na sio matajiri na Wafanyabiashara wakubwa.
Hiyo ndio CCM ya Karume na Nyerere.
Lakini si wanapewa sabuni, nguo, ubwabwa, n.k., nyakati wanapotakiwa kutoa kura zao zinapohitajika kujazia zile zilizofutikwa ndani ya masanduku ya kura?Hao watu wa chini wanapaswa kupaza sauti za ili changamoto zao zifanyiwe kazi. Hii tabia yao ya kukaa kimya na kusubiri kusemewa ndiyo hupelekea wanaowasemea kuitwa wachochezi. Changamoto zitakazofanyiwa kazi ni watakaoongea.