Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM umenikosha kwa kumwengua Juma Nkamia wa Jimbo la Chemba, Dodoma

Kwa mara ya kwanza JPM kanifurahisha kwa kuyakata majina yafuatayo
1. mwakyembe
2. nkamia
3. chenge

Kwa mtizamo wangu mimi hawa wajinga walijiona kama wao ndio wameibeba ccm pamoja na nchi.
Chenge alikuwa anajiona ye ndio kila kitu bungeni ingawa hakuwa speaker but he had some influences on Ndugai.
 
Watu wanafikiri Mgufuli ni mjinga.
Majuzi kawafurumua TAKUKURU kwa kujenga ofisi Chato eti kumfurahisha.
Nkamia sasa zake zimefika.
Ndugai na wengine wajue kuwa ni muda wa kutia maji kabla ya kunyolewa.
 
Hehhee kujikomba kwio..mie nimelala natabasamu baada ya Yule mbunge hovyo Toto ya Selina Kombani...Mlinga kapigwa chini...Sasa hivi mkewe atatuona wote raia wa kawaida
 
Uzuri wa CCM ukikatwa huna option nyingine zaidi ya kuzidi kujipendekeza ili usikose vi-uteuzi uteuzi in case CCM ikishinda!!

kuwa ndani ya CCM ni zaidi ya ndoa ya kikristo!!
 
Kwa mara ya kwanza JPM kanifurahisha kwa kuyakata majina yafuatayo
1. mwakyembe
2. nkamia
3. chenge

Kwa mtizamo wangu mimi hawa wajinga walijiona kama wao ndio wameibeba ccm pamoja na nchi.
Mwenge wa uhuru + chenge kuna jambo kubwa linakuja #Mshana_nyakati hazidanganyi
 
Uzuri wa CCM ukikatwa huna option nyingine zaidi ya kuzidi kujipendekeza ili usikose vi-uteuzi uteuzi in case CCM ikishinda!!

kuwa ndani ya CCM ni zaidi ya ndoa ya kikristo!!
Ukuu wa mkoa unamsubiri..
 
Hivi Nkamia kachinjiwa kamati kuu au ni wajumbe walifanya kazi yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…