Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM umenikosha kwa kumwengua Juma Nkamia wa Jimbo la Chemba, Dodoma

Ali Kessy karudi lakini naye alikua na ajenda hiyo hiyo?
 
Juma Nkamia ni aina ya mtu mwenye kihere here sana ni mjuaji mno ana vitabia vya hovyo hovyo sana nadhani CCM wamepitia file lake lote wakaona ni kajitu Hatari kasiko na busara
Simtofautishagi na maulidy kitenge
 
Ni mapema sana, awamu hii ni kutoa nafuu na kuweka afadhali, anaweza kuteuliwa nafasi ya kimkakati! Mrisho gambo si unamuona anapoelekea? ...potential cabinet member...
Uwaziri katika awamu ya Anko Magu siyo dili.
Ulizia vichwa kama Prof Muhongo wako wapi sasa.
 
Watu wanafikiri Mgufuli ni mjinga.
Majuzi kawafurumua TAKUKURU kwa kujenga ofisi Chato eti kumfurahisha.
Nkamia sasa zake zimefika.
Ndugai na wengine wajue kuwa ni muda wa kutia maji kabla ya kunyolewa.
Nitafurahi Ndugai asipata Tena uspeaker.
 

Magufuli ana akili sana
 
Huyu jamaa ni kiazi kwelikweli! halafu ni mchafu mno mno kwa vitoto vidogo vya kike hafai!
 

Usiziamini sana siasa ya nchi hii.
 
vipi nkamia,kange,je wataendelea kusifu na kuabudu baada ya ajira zao kukoma
 
badala ya kuomba aongozewe mda jimboni mwake eti anamuombea mwanaume mwenzake aongezewe mda
 
Kwa mara ya kwanza JPM kanifurahisha kwa kuyakata majina yafuatayo
1. mwakyembe
2. nkamia
3. chenge

Kwa mtizamo wangu mimi hawa wajinga walijiona kama wao ndio wameibeba ccm pamoja na nchi.
wakajiajiri kama wanavotaka vijana wakajiajiri
 
Jamaa bogus lilikazania sana Magu aongezewe muda wakati mwaka huu hatoboi
 
Hehhee kujikomba kwio..mie nimelala natabasamu baada ya Yule mbunge hovyo Toto ya Selina Kombani...Mlinga kapigwa chini...Sasa hivi mkewe atatuona wote raia wa kawaida
[emoji23][emoji23][emoji23] alikuzingua nn.. sema yule jamaa kichwan sifuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…